Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Mtwara mjini amesema wamasai 110,000 wanaoishi Ngorongoro waondolewe na kulipwa fidia ili kulinda hifadhi kwa sababu Ngorongoro siyo mali ya Wamasai pekee bali ni ya taifa zima kama...
17 Reactions
49 Replies
4K Views
Tangu kuondokewa kwa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh JPM Mitandaoni kote hakujawahi kutulia, nilidhani labda kwa kuwa nchi yetu haijawahi kukumbwa na kadhia hiyo ya...
19 Reactions
142 Replies
9K Views
Anaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote wa ndani na wa kigeni walikuwa wakimuogopa Magufuli isipokuwa mmiliki...
55 Reactions
275 Replies
20K Views
Bungeni kumekuwa na matangazo mengi na inasababisha muda wa maswali na majibu au kujibu hoja kuwa mdogo. Unaweza ukadhani ni kipindi cha michezo iliyojaa matangazo kila baada ya dk 3. Mfano...
1 Reactions
14 Replies
755 Views
Safari ya Maisha ya Kiroho ya Dr. John P. Magufuli wa Tanzania Askofu mkuu Protase Rugambwa, ameongoza Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Hayati Dr. John Pombe Magufuli wa Tanzania...
19 Reactions
89 Replies
7K Views
Wakuu Salaam, Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda...
10 Reactions
67 Replies
13K Views
Taasisi ya Utafiti NIMR imefanikiwa kutengeneza dawa lishe itakayowasaidia wenye maambukizi ya Corona kukabiliana na virusi hivyo. Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema dawa hiyo inasaidia...
24 Reactions
139 Replies
21K Views
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama...
8 Reactions
127 Replies
9K Views
Hayati Mwalimu Nyerere atakumbukwa kwa mambo mengi haya aliyiwahi kuyasema tunayaona katika awamu mbalimbali za utawala katika nchi yetu. Tena kwa sasa kuna kikundi kimejionesha waziwazi kuwa hii...
2 Reactions
1 Replies
581 Views
Serikali kupitia BOT imepunguza riba ya hati fungani. Leo la hii huwa ni kudiscourage watu kununua sana hizi bonds. Ili watu wabaki na pesa, lakini kwa kipindi hiki Cha hyper inflation ni hatari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally amesema kulikuwa na mchwa ndani ya ccm waliochota hela za chama mpaka kukifanya kubakiwa na million 5 tu kwa mwaka mzima! Lakini upepo umebadilika baada ya...
25 Reactions
142 Replies
16K Views
Wanawake wanaweza sana. Tuna Rais Mwanamke, Waziri wa Ulinzi Mwanamke, Waziri wa Utalii Mwanamke, Kamishna wa Uhamiaji Mwanamke! Hizi ni nafasi nyeti katika kuisukuma nchi. Ni wakati sasa wa...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Dharau aliyoionyesha huyu DED kwa ITV wakati akihojiwa kuhusu mgogoro wa ardhi huko Yombo haivumiliki, kwamba yeye anapaswa kuhojiwa na Mkurugenzi wa ITV kwa vile mwandishi wa ITV aliyempigia simu...
28 Reactions
82 Replies
14K Views
MAKONDA AMBWAGA KUBENEA MAHAMANI Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya matumizi...
23 Reactions
84 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa katiba iliyopo mbunge anakoma kuwa mbunge endapo tu chama kilichomdhamini kitamfukuza uanachama. Hili halina ubishi Kama kufukuzwa kwake hakukufuata taratibu sio suala la bunge au...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, ningependa nielekee kwenye mada husika. Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, katika pita pita yangu ya kutafuta ugali wangu, nimefanikiwa...
13 Reactions
68 Replies
4K Views
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate...
20 Reactions
215 Replies
21K Views
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda. Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Hakika lililoandikwa na Mwenyezi Mungu kabla mbingu hazijaumbwa haliepukiki. Uongozi wa mama Samia umezidi "kuwakuna" watu na taasisi mbalimbali, baada ya Lissu, Mbowe, msigwa, taasisi za...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama kuna busara ya kisiasa tunakatakiwa kuwa nayo wapinzani ni hiki kipindi ambacho wapinzani wanapayuka hovyo kumchafua hayati JPM. JPM is gone na kila mtanzania anafahamu juu ya utawala wake...
14 Reactions
94 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…