Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,262
- 217,245
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.
Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya kusikilizwa ili zijulikane mbivu na mbichi.
Kama kawaida, mimi nzi wenu Erythrocyte niko kwenye viunga vya mahakama nikinusanusa yatakayojiri ili kukuletea Taarifa kamili.