EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara).
Hawa madereva mtawafukuza kupunguza wage bill?
Wazo langu ni kuyatoa TEMESA kila ofisi itafute garage yao kwa ajali ya service.
TEMESA wanapiga sana magari ya serikali hadi najiuliza hii ni taasisi ya UMMA au kuna wanufaika wachache wanaimiliki?
Gari service ya kawaida ya kumwaga oil ya engine na gearbox na kubadili oilfilter gharama inakuja si chini ya 500k.
Mafundi wao ni vilaza sometimes wanaokota vijana wa garage kuwasaidia kurekebisha baadhi ya mambo (najua hii maana nahusika).
Napinga hili maana ni kutupiga kama enzi za JPM na Mkapa walipouza nyumba za Serikali.
Haya magari hata wakiuziana mafuta yataendelea kugharimikiwana serikali kama ilivyo kwa magari ya WABUNGE.
Mengine ntaongezea baadae au asubuhi.
Mwenye ziada aendelee kuongezea
Hata hili la waliotenguliwa uteuzi kwenye vyeo vya uteuzi kama wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara, Wakuu wa Mashirika ya Umama na Wakuu wa Wakala wa Serikali, kurudishwa kwenye nafasi zao za awali haliwezekani maana nafasi zimeshajazwa wage-bill itabaki palepale labda kwa wale watendaji ambao wakati wanateuliwa walitolewa sekta binafsi hao utumishi wao unakoma.