Kufuatia kitu kilichobatizwa na watu nje ya NCCR-Mageuzi kuwa ni mgogoro, Naibu Msajili wa vyama vya siasa amewaandikia barua aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ambaye...
14 June 2022
Muscat, Oman
By: ONA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza mahafali ya kufunga kozi ya Ukamanda na Unadhimu na Astashahada na Shahada ya Uzamili ya Mafunzo ya Ulinzi...
Kazi iendelee.
Serikali ya Sri Lanka imewataka wafanyakazi wa Umma kwenda Kulima badala ya kazini Ili kukabiliana na njaa.
Hii na sisi Tanzania hatuwezi kuiga?👇
Bashe ametoa Siri aliyoificha kwa muda, kuwa Magufuli alitaka amtumbue na amuuweke ndani. CHEKI VIDEO
Waziri Bashe amesema, alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo alikumbana na sakata la...
Wakati wa upanuzi wa barabara ya Ubungo wenyeji wake walihamishiwa Mbweni kea kupewa viwanja tu wala siyo Nyumba
Wakazi wa Kinondoni Mkwajuni kwa sababu za Mazingira kama ilivyo Ngorongoro...
Picha> Mbunge Felista Njau akitoa hoja bungeni
Felista Njau, Mbunge wa viti maalum akiwa Bungeni leo ametoa mchango wake kuhusu bajeti huku akisisitiza kuwa bajeti imeacha kipengele muhimu cha...
John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri.
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8, mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio...
Na WyEST
DSM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo na hivyo linahitaji wadau wengi katika...
ILANI YA CCM 2015-2020
Kupunguza gharama za kuunganisha umeme vijijini kutoka TSH 454,000 mpaka TSH 27,000
ILANI YA CCM 2020-2025
63(h) kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme na wa gharama nafuu...
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli...
Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini.
Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo...
Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo.
Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka...
Ndivyo halo ilivyo hadi sasa katika viunga vya Ufipa yalipo makao makuu ya Chadema
Wapo wanaowaunga mkono mchungaji Msigwa na Mbunge Khenan wa Nkasi wanaosupport Wamasai kuondolewa Ngorongoro...
Hakika inasikitisha sana Kuona Mh RAIS SAMIA Anavyohangaika kutafuta Pesa za Maendeleo halafu kuna Mchwa kwenye HALMASHAURI wanatafuna hizo Pesa kama zao na WAZIRI YUPO Hatusikii Hatua zozote za...
Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi'
Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi...
Unajua kuna kipimo cha ujinga na upumbavu lakini heri mjinga maana anaweza kueleweshwa na mpumbavu katu anajua ukweli ila anaupindisha kwa faida zake
Ridhwan Kikwete na wana CCM wenzie ni moja ya...