YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Mama Samia wizara ya maji shida inakuwaje maeneo ya Mwanza ya Nyashishi, Nangomango, Usagara,Bukumbi na Kigongo kule daraja la Magufuli linajengwa Mwanza wanatumia maji ya visima huku wako karibu na ziwa?
Mibomba inatoka ziwani inapeleka maji Shinyanga nk huku walio karibu kabisa na ziwa wana shida kubwa ya maji wanatumia maji ya visima ni sawa?
Mtimue huyo Waziri wa Maji
Mibomba inatoka ziwani inapeleka maji Shinyanga nk huku walio karibu kabisa na ziwa wana shida kubwa ya maji wanatumia maji ya visima ni sawa?
Mtimue huyo Waziri wa Maji