15 June 2022
Geneva,Switzerland
Msimamo Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula kutoka
Mhe. Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye...
Suala la Serikali kuchukua maeneo ya Wamasai na kuyageuza kuwa mapori ya akiba inaonekana halitaishia Loliondo pekee bali linasambaa hadi wilaya nyingine kama Simanjiro, Longido na hata Monduli...
Na Eva Ngowi, Dar es Salaam
Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameitisha mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki siku ya Jumatatu kujadili amani na usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na...
Tanzania imepata Mkopo kwaajili ya miundombinu na huduma bora kupitia mkopo Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA*) wa dola za Kimarekani milioni 278 ulioidhinishwa tarehe 13 Jun 2022 na Benki ya...
UKWELI KUHUSU LOLIONDO Naa Joseph #Yona
Mgogoro wa Loliondo umeshika kasi huku Catalyst mkubwa kwenye mgogoro ni wenzetu wa Kenya, Tanzania inaweka mpaka kwenye eneo la Km² 1,500 tu la Pori...
Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili...
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.
Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote...
Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na...
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia (World Heritage Site - UNESCO) si kwa ajili ya ardhi yake bali kuwepo kwa makundi makubwa ya wanyama wahamao, maarufu kama...
Mbunge wa Arusha mh Gambo amesema Royal Tour imeleta mafuriko ya Watalii mkoani kwake na hadi sasa Hotel zote zimejaa hadi Disemba.
Gambo alikuwa akichangia bajeti ya Serikali bungeni
Chanzo...
Prof. Kabudi amemshukuru Rais Samia kwa kumteua kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Majadiliano ya Kimataifa
Kabudi ambaye ni mbunge wa Kilosa amesema cheo hiki ni kikubwa sana na hakuwahi kufikiria...
Ukweli mchungu, kwa ushahidi kuwa Wamasai wa Loliondo kwa Upendo wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amewapa Km² 2,500 na wanakadiriwa kuwa 70,000 tu lakini Dar Es Salaam nzima ina eneo la...
UVCCM_ TAIFA
JUNI 20, 2022
HISTORIA INAENDA KUANDIKWA.
Ni Alhamisi ya tarehe 23/06/2022 Jijini Dar es salaam Historia Mpya inaenda kuandikwa.
Ni Kongamano la VIJANA NA SENSA Mgeni rasmi atakuwa...
Mataifa mbali mbali hasa ya Kiarabu inasemakana yamenunua sana Aridhi Africa kwa minajiri ya kulima, au hata kuja kuishi. Kuna nchi kama Ethiopia, Kenga, Msumbiji na hata Tanzania.
Swali ni je...
Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas ameishauri Serikali kuangalia utaratibu mzuri wa kupanua wigo wa Walipakodi badala ya kuongeza Kima cha Kodi
Akichangia Mjadala wa Bajeti Kuu amesema...
Salaamm Wakuu,
Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo...
Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu
Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili
Kassim Mpingi Rufiji- Pwani
Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji...
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi...
Ni wakati akichangia Mada ya Nani anafaa kwa Urais wa JMT-2025.
Kati ya MBOWE ,Lissu na Zitto
Hii ilikuwa huko Club House jana.
Nimemnukuu Sehemu ya Maelezo Yake...neno kwa neno...
Msigwa:
Urais...