Halima Mdee na wenzako bado milango iko wazi, ‘msinyee kambi’

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kamati Kuu ya Chadema imewapa siku 30 Wabunge wa Viti maalumu waliovuliwa uanachama za kuomba radhi.

Huu ni muda mwafaka kwao wa kutulia na kutafakari kwa kina kilichotokea, wasiharakishe kutoa matamko, ni kipindi cha kupima faida na hasara walizopata au watakazopata kutokana na maamuzi waliyofanya, kipindi hiki wawe waangalifu zaidi.

Biashara ya siasa ni tofauti na biashara zingine, inahitaji sana trust ya watu hasa waliokuzoea, kipindi hiki wale maadui wao kisiasa waliokuwa wanaona wanafanikiwa watajitokeza na kujifanya wako karibu yao, watawakarimu kwa kila kitu, watawalipia usafiri, hoteli, watawaandalia press conference na kuelekezwa cha kuongea.

Mifano ya kujifunza ipo mingi, kwa uchache Lipumba, Mrema, Mbatia, Kabouru na Slaa, viongozi hawa baada ya kutofautiana na vyama vyao waliandaliwa press conferences na waliokuwa mahasimu wao, Lipumba hadi alipelekwa Kigali kupumzika kwa gharama zao lkn ndio ukawa mwanzo wa mwisho wao kisiasa.

Kitu cha msingi ninachotaka kuwashauri, kama bado walikuwa na mawazo ya kuendelea kuwa Chadema lkn kutokana na hili au lile wakakengeuka basi waombe radhi natumaini chama bado kinawapenda kitawasikiliza, lakini kama wameamua kuachana na Chadema bado sio mbaya lkn sio sahihi kuanza kuulaumu uongozi uliowalea, kwa sababu hata wanakokwenda kuna uongozi nao unaweza kuhisi kuna siku watauponda kama wanavyouponda uongozi wa Chadema.

Kwa sisi wazoefu wa interview ambao kazi yetu ya kila siku ni kutafuta kazi kuna swali huwa tunakutana nalo ‘kwanini uliamua kuacha kazi kwenye kampuni uliyotoka’ ukisema management ilikuwa inakunyanyasa hupati kazi.

Nawakumbusha tena msinyee kambi au msitukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Nawatakia kila la heri katika maisha yenu mapya ya kisiasa.
 
Itakuwa walipokea hizo taarifa wakiaminishwa kuwa zina baraka ya chama chao au wametishwa, sa kitu gani kinamfanya Ndugai kwamba lazima hawa wabunge wa kuteuliwa tena wa chadema waingie Bungeni?

Hivi hana taarifa kuwa Chadema hawautambui uchaguzi walioufanya Tume ya Kileja kuwa vigezo vyake kuhisabika kama uchaguzi huru na wa haki na wa amani havikutimia? Yaani hata Magu atamshangaa huyu Ndugai.
 
Chadema inajikaanga na mafuta yake yenyewe.

Misimamo mikali isiyo na tija, ndiyo chanzo cha yote haya.

Hawakuwa na sababu ya kuweka misimamo mikali namna hii huku wakijua wazi kuwa haina faida yoyote.

Walisusa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa, Sijui hata walichotarajia. Ila maisha yanaendelea kama kawaida.

Kwa sasa chadema isitarajie kukubalika kama zamani hadi viongozi wote wajiuzulu,waje wapya na mitazamo chanya.Kwa sasa mmefeli kabisa katika sayansi ya siasa.Hamuwajui watanzania,mnawaletea masuluhisho kutoka nchi nyingine, watanzania watabaki kuwa watanzania,na hivyo suluhu zozote zilenge muktadha wa sifa na tabia za watanzania.Hivi mnavyokwenda ni sawa tu na kujikaanga na mafuta yenu wenyewe
 
Itakuwa walipokea hizo taarifa wakiaminishwa kuwa zina baraka ya chama chao,au wametishwa,sa kitu gani kinamfanya Ndugui kwamba lazima hawa wabunge wa kuteuliwa tena wa chadema waingie Bungei?

Hivi hana taarifa kuwa Chadema hawautambui uchaguzi walioufanya Tume ya Kileja kuwa ,vigezo vyake kuhisabika kama uchaguzi huru na wa haki na wa amani havikutimia ? Yaani hata Magu atamshangaa huyu Ndugai.
Ingekuwa hivyo si wangetokea kamati kuu?
 
Hahaha we mwehu kweli yani hata masaa mawili hayajapita unataka warejee?!

Hao mali ya CCM kwa sasa wala usihangaike nao.

Walitafuta njia ya kuondoka na wameondoka tayari, let them go!

Wakirudi watakuwa kama Nassari.
 
Kamati Kuu ya Chadema imewapa siku 30 Wabunge wa Viti maalumu waliovuliwa uanachama za kuomba radhi.

Huu ni muda mwafaka kwao wa kutulia na kutafakari kwa kina kilichotokea, wasiharakishe kutoa matamko, ni kipindi cha kupima faida na hasara walizopata au watakazopata kutokana na maamuzi waliyofanya, kipindi hiki wawe waangalifu zaidi.

Biashara ya siasa ni tofauti na biashara zingine inahitaji sana trust ya watu hasa waliokuzoea, kipindi hiki wale maadui wao kisiasa waliokuwa wanaona wanafanikiwa watajitokeza na kujifanya wako karibu yao, watawakarimu kwa kila kitu, watawalipia usafiri, hoteli, watawaandalia press conference na kuelekezwa cha kuongea.

Mifano ya kujifunzs ipo mingi, Lipumba, Kabouru, Slaa na wengine, viongozi hawa baada ya kutofautiana na vyama vyao waliandaliwa press conferences na waliokuwa mahasimu wao, Lipumba hadi alipelekwa Kigali kupumzika kwa gharama zao lkn ndio ukawa mwisho wao kwenye ulingo wa siasa.

Kitu cha msingi ninachotaka kuwashauri, kama bado walikuwa na mawazo ya kuendelea kuwa Chadema lkn kutokana na hili au lile wakakengeuka basi waombe radhi natumaini chama bado kinawapenda kitawasikiliza, lakini kama wameamua kuachana na Chadema bado sio mbaya lkn sio sahihi kuanza kuulaumu uongozi uliowalea, kwa sababu hata wanakokwenda kuna uongozi nao unaweza kuhisi kuna siku watauponda kama wanavyouponda uongozi wa Chadema.

Kwa sisi wazoefu wa interview ambao kazi yetu ya kila siku ni kutafuta kazi kuna swali huwa tunakutana nalo ‘kwanini uliamua kuacha kazi kwenye kampuni uliyotoka’ ukisema management ilikuwa inakunyanyasa hupati kazi.

Nawakumbusha tena msinyee kambi au msitukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Nawatakia heri katika maisha yenu mapya ya kisiasa.
Halima na mademu zako karibuni sana Chama Cha Mapinduzi
 
Chadema inajikaanga na mafuta yake yenyewe.

Misimamo mikali isiyo na tija,ndiyo chanzo cha yote haya.

Hawakuwa na sababu ya kuweka misimamo mikali namna hii huku wakijua wazi kuwa haina faida yoyote.

Walisusa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa,Sijui hata walichotarajia.Ila maisha yanaendelea kama kawaida.

Kwa sasa chadema isitarajie kukubalika kama zamani hadi viongozi wote wajiuzulu,waje wapya na mitazamo chanya.Kwa sasa mmefeli kabisa katika sayansi ya siasa.Hamuwajui watanzania,mnawaletea masuluhisho kutoka nchi nyingine, watanzania watabaki kuwa watanzania,na hivyo suluhu zozote zilenge muktadha wa sifa na tabia za watanzania.Hivi mnavyokwenda ni sawa tu na kujikaanga na mafuta yenu wenyewe

Hata sioni hoja yako ni ipi hapa. Ukiwa mtanzania ndio unaweza kulishwa ujinga na kuukubali ama? Nenda kaangalie ile list ya majina ya ajira za waalimu uone jinsi ilivyo fake, yaani ni uongo wa kitoto sana. Halafu fuatilia vizuri habari, nchi imekopa $120m ili kujenga umeme wa Malagarasi wa 50mg, huku tuna mradi mkubwa wa 2015mg utakaoisha 2022 kwa mujibu wa wapika data. Kama una akili nzuri utajiuliza mkopo wa umeme wa nini tena, wakati muda mfupi tu utakuwa na umeme kuliko mahitaji? Halafu watu wanashangilia, huenda hao ndio watanzania unaowasema hapa.
 
Wamezichanga karata zao,wamelamba dume.

Mbowe kaona Hana MASLAHI Hapo,so kuwatumia kwenye mtaro.

Mkiambiwa Chadema Sacco's muelewe,Kila mtu atafika bei kwa wakati wake tu
 
Chadema inajikaanga na mafuta yake yenyewe.

Misimamo mikali isiyo na tija,ndiyo chanzo cha yote haya.

Hawakuwa na sababu ya kuweka misimamo mikali namna hii huku wakijua wazi kuwa haina faida yoyote.

Walisusa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa,Sijui hata walichotarajia.Ila maisha yanaendelea kama kawaida.

Kwa sasa chadema isitarajie kukubalika kama zamani hadi viongozi wote wajiuzulu,waje wapya na mitazamo chanya.Kwa sasa mmefeli kabisa katika sayansi ya siasa.Hamuwajui watanzania,mnawaletea masuluhisho kutoka nchi nyingine, watanzania watabaki kuwa watanzania,na hivyo suluhu zozote zilenge muktadha wa sifa na tabia za watanzania.Hivi mnavyokwenda ni sawa tu na kujikaanga na mafuta yenu wenyewe
Umefifia na kupauka. Pole mkuu.
 
Kama kukosa kuchaguliwa hata wenje hajahama chadema lakini hasikiki lipumba,mrema,mbatia kura hazikutosha slaa alistaafu siasa!
Lipumba, Mrema, Mbatia, Kabouru na Slaa

Ukiachana na marehemu kabouru nani mwenye nafuu kisiasa.
 
Chadema inajikaanga na mafuta yake yenyewe.

Misimamo mikali isiyo na tija,ndiyo chanzo cha yote haya.

Hawakuwa na sababu ya kuweka misimamo mikali namna hii huku wakijua wazi kuwa haina faida yoyote.

Walisusa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa,Sijui hata walichotarajia.Ila maisha yanaendelea kama kawaida.

Kwa sasa chadema isitarajie kukubalika kama zamani hadi viongozi wote wajiuzulu,waje wapya na mitazamo chanya.Kwa sasa mmefeli kabisa katika sayansi ya siasa.Hamuwajui watanzania,mnawaletea masuluhisho kutoka nchi nyingine, watanzania watabaki kuwa watanzania,na hivyo suluhu zozote zilenge muktadha wa sifa na tabia za watanzania.Hivi mnavyokwenda ni sawa tu na kujikaanga na mafuta yenu wenyewe
Wewe akili yako haina akili ,uchaguzi wa serikali za mitaa walisusia na wakashiriki uchaguzi mkuu walichokipata ni kipi? Si ni bora wangesusia kama a wali? Nani asiejua kuwa hapakuepo na uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu?
 
Kamati Kuu ya Chadema imewapa siku 30 Wabunge wa Viti maalumu waliovuliwa uanachama za kuomba radhi.

Huu ni muda mwafaka kwao wa kutulia na kutafakari kwa kina kilichotokea, wasiharakishe kutoa matamko, ni kipindi cha kupima faida na hasara walizopata au watakazopata kutokana na maamuzi waliyofanya, kipindi hiki wawe waangalifu zaidi.

Biashara ya siasa ni tofauti na biashara zingine inahitaji sana trust ya watu hasa waliokuzoea, kipindi hiki wale maadui wao kisiasa waliokuwa wanaona wanafanikiwa watajitokeza na kujifanya wako karibu yao, watawakarimu kwa kila kitu, watawalipia usafiri, hoteli, watawaandalia press conference na kuelekezwa cha kuongea.

Mifano ya kujifunza ipo mingi, kwa uchache Lipumba, Mrema, Mbatia, Kabouru na Slaa, viongozi hawa baada ya kutofautiana na vyama vyao waliandaliwa press conferences na waliokuwa mahasimu wao, Lipumba hadi alipelekwa Kigali kupumzika kwa gharama zao lkn ndio ukawa mwanzo wa mwisho wao kisiasa.

Kitu cha msingi ninachotaka kuwashauri, kama bado walikuwa na mawazo ya kuendelea kuwa Chadema lkn kutokana na hili au lile wakakengeuka basi waombe radhi natumaini chama bado kinawapenda kitawasikiliza, lakini kama wameamua kuachana na Chadema bado sio mbaya lkn sio sahihi kuanza kuulaumu uongozi uliowalea, kwa sababu hata wanakokwenda kuna uongozi nao unaweza kuhisi kuna siku watauponda kama wanavyouponda uongozi wa Chadema.

Kwa sisi wazoefu wa interview ambao kazi yetu ya kila siku ni kutafuta kazi kuna swali huwa tunakutana nalo ‘kwanini uliamua kuacha kazi kwenye kampuni uliyotoka’ ukisema management ilikuwa inakunyanyasa hupati kazi.

Nawakumbusha tena msinyee kambi au msitukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Nawatakia heri katika maisha yenu mapya ya kisiasa.
Faru John anajitekenya mwenyewe halafu ana cheka,huyo ndiyo dj bwana,anacheza na akili ya mhyaturu Kama computer,mnysturu alivyo wa barabara ya vumbi haja sanda bado,Filam inaendelea na mshkaji yupo ughaibuni na alisubiriwa ahame nchi kwanza huku mambo yaendelee,ukweli nikwamba dj anajua kilakitu kuhusu covid 19 na yy ndiyo aliye ratibu,ukitaka kulithibitisha hilo jaribu kuangalia eti kawapa siku 30 wajitetee,siku 30 zanini na watu umesha wafukuza,
Upande mwingine kina Halina wanaweza kwenda mahakamani na wakashinda vizuri tu na dj na katibu waka aibika vibaya Sana maana wanajidai hawakuandika barua tume kumzuga Lisu lakini ukweli barua waliandika na saini ni za kwao,na ndivyo itakavyo kuwa na Dj ni mratibu mkuu kwa hilo,na Dj anajua kabisa kuwa Mdee na wenzake wataenda mahakamani na kidonda na hivyo wao watakuwa wamejikosha kwa wanachama na kutupia mzigo mahakama na Filam itaishia hapo huku Stelling akibaki kuw Dj
Zaidi sana Speaker kaahidi kuwalinda kina Mdee kwa kila hali kwa uchache wao,
 
Kamati Kuu ya Chadema imewapa siku 30 Wabunge wa Viti maalumu waliovuliwa uanachama za kuomba radhi.

Huu ni muda mwafaka kwao wa kutulia na kutafakari kwa kina kilichotokea, wasiharakishe kutoa matamko, ni kipindi cha kupima faida na hasara walizopata au watakazopata kutokana na maamuzi waliyofanya, kipindi hiki wawe waangalifu zaidi.

Biashara ya siasa ni tofauti na biashara zingine inahitaji sana trust ya watu hasa waliokuzoea, kipindi hiki wale maadui wao kisiasa waliokuwa wanaona wanafanikiwa watajitokeza na kujifanya wako karibu yao, watawakarimu kwa kila kitu, watawalipia usafiri, hoteli, watawaandalia press conference na kuelekezwa cha kuongea.

Mifano ya kujifunza ipo mingi, kwa uchache Lipumba, Mrema, Mbatia, Kabouru na Slaa, viongozi hawa baada ya kutofautiana na vyama vyao waliandaliwa press conferences na waliokuwa mahasimu wao, Lipumba hadi alipelekwa Kigali kupumzika kwa gharama zao lkn ndio ukawa mwanzo wa mwisho wao kisiasa.

Kitu cha msingi ninachotaka kuwashauri, kama bado walikuwa na mawazo ya kuendelea kuwa Chadema lkn kutokana na hili au lile wakakengeuka basi waombe radhi natumaini chama bado kinawapenda kitawasikiliza, lakini kama wameamua kuachana na Chadema bado sio mbaya lkn sio sahihi kuanza kuulaumu uongozi uliowalea, kwa sababu hata wanakokwenda kuna uongozi nao unaweza kuhisi kuna siku watauponda kama wanavyouponda uongozi wa Chadema.

Kwa sisi wazoefu wa interview ambao kazi yetu ya kila siku ni kutafuta kazi kuna swali huwa tunakutana nalo ‘kwanini uliamua kuacha kazi kwenye kampuni uliyotoka’ ukisema management ilikuwa inakunyanyasa hupati kazi.

Nawakumbusha tena msinyee kambi au msitukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Nawatakia heri katika maisha yenu mapya ya kisiasa.
Ngoja wakome ,Asante Sana kamati kuu KWA kukitendea chama haki, wanachama, na watz KWA ujumla
 
Chadema inajikaanga na mafuta yake yenyewe.

Misimamo mikali isiyo na tija, ndiyo chanzo cha yote haya.

Hawakuwa na sababu ya kuweka misimamo mikali namna hii huku wakijua wazi kuwa haina faida yoyote.

Walisusa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa, Sijui hata walichotarajia. Ila maisha yanaendelea kama kawaida.

Kwa sasa chadema isitarajie kukubalika kama zamani hadi viongozi wote wajiuzulu,waje wapya na mitazamo chanya.Kwa sasa mmefeli kabisa katika sayansi ya siasa.Hamuwajui watanzania,mnawaletea masuluhisho kutoka nchi nyingine, watanzania watabaki kuwa watanzania,na hivyo suluhu zozote zilenge muktadha wa sifa na tabia za watanzania.Hivi mnavyokwenda ni sawa tu na kujikaanga na mafuta yenu wenyewe
Zaidi yangu ninaye kujuza hapa utaona kila asomaye anapita na kukupuuza. Kwa sababu wakati viongozi wako ccm hawalali sababu ya Chadema wewe hujui unalala na fikra mfu
 
Chadema inajikaanga na mafuta yake yenyewe.

Misimamo mikali isiyo na tija, ndiyo chanzo cha yote haya.

Hawakuwa na sababu ya kuweka misimamo mikali namna hii huku wakijua wazi kuwa haina faida yoyote.

Walisusa uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa, Sijui hata walichotarajia. Ila maisha yanaendelea kama kawaida.

Kwa sasa chadema isitarajie kukubalika kama zamani hadi viongozi wote wajiuzulu,waje wapya na mitazamo chanya.Kwa sasa mmefeli kabisa katika sayansi ya siasa.Hamuwajui watanzania,mnawaletea masuluhisho kutoka nchi nyingine, watanzania watabaki kuwa watanzania,na hivyo suluhu zozote zilenge muktadha wa sifa na tabia za watanzania.Hivi mnavyokwenda ni sawa tu na kujikaanga na mafuta yenu wenyewe
Kwahiyo unashauri wangefanyaje labda?
 
Back
Top Bottom