Mbunge wa Nzega vijijini Dk Hamis Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na maamuzi ya Serikali kuhamisha ujenzi wa makao makuu ya Halimashauri ya Nzega kutoka kata ya Ndalla na kupelekwa Lubisu...
Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza.
Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa...
Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC)
Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau...
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.
Sasa kuwalazimisha...
Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu...
Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna...
Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.
Ameyasema hayo wakati Waziri...
SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI
SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI.
Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa...
Kuna tabia imeibuka kwa baadhi ya viongozi kuwaaminisha raia kuwa serikali imejaa malimbukeni na yeyote aliye kinyume na serikali basi ana akili kubwa na uwezo mkubwa.
Hili linapelekea kupinga...
Katika Mambo yanayoitia DOSARI SERIKALI ya AWAMU ya 6 ni hili la WABUNGE 19 waliofukuzwa na CHADEMA lakini Mpaka leo Wapo BUNGENI na WANALIPWA Mishahara na Posho ambazo ni KODI za WANANCHI...
Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO...
The Globe and Mail’s accusations that Tanzania government is committing “illegal act of shocking brutality” against Maasai community living in Loliondo Game Controlled Area are baseless and unjust...
Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.
Jaji Warioba amesema makundi ya...
1. Kulipa fadhila; Teuzi nyingi sana Tanzania zimejikita hapo kwenye kilipa fadhila.
2. Kujipendekeza, Kuna baadhi ya teuzi ziko katika kujipendekeza, kwamba ngoja imteue fulani au mtoto wa...
Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine...
Lack of wisdom
"Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara...
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John...
Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na...
Arusha kuna mambo Sana
Baada ya PM kumpiga chini Mkurugenzi Wa Jiji la Arusha John Pima, kwa tuhuma za upigaji akishirikiana na Wachumi 3 na mweka hazina ambao wamehamishiwa Arusha hivi karibuni...