Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari JF ,Ukiachana na Suala la Udiwani na Ubunge wa viti maalumu bado kuna vyeo vingi sana ambavyo kuna haja ya kuvipitia na kuona kama kuna umuhimu kuendelea kuwepo. Mfano Wilaya inawakilishwa...
15 Reactions
36 Replies
2K Views
Tanzania Salaam, Nchi yetu sio masikini, Bali wananchi mmojammoja ndio masikini! Na umasikini huo unaweza kuchangiwa na vitu vingi, ni pamoja na kutokuwa na viongozi wenye maono! Viongozi...
0 Reactions
4 Replies
650 Views
Japo mimi sio mtaalama wa maswla ya uandishi na wala si mwandishi wa habari, ila nimegundua makosa madogo ya kiuandishi katika Press Realease ya leo iliyotolewa na Madam Zuhura Yunus aliefanya...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Kwema Wakuu! Leo nilikutana na Mzee mkongwe ambaye mara ya mwisho kuonana ilikuwa 2017, aliponiona akanichangamkia Sana huku akatabasamu, nami nilifurahi Sana Kwa maana huyu Mzee licha ya umri...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Kaka pokea maua yako uyanuse ukiwa bado una pumzi na akili timamu, Mnyonge ananyongwa haki yake anapewa. Wewe unastahili kuipokea haki yako kwa weledi wako mengine yatakuwa mapungufu ya kibinadamu...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI. Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka...
1 Reactions
0 Replies
588 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habai wana jamvi. Leo rais kamtumbua DG wa bandari lakini nataka nimpe tu angalizo .mwarobaini wa bandari kwa sasa aunde tume ya uendeshaji angalau itasaidia kudhibiti hongo. Kwa sasa naona kama...
2 Reactions
9 Replies
351 Views
Miaka si mingi iliyopita January Makamba alikuwa anasemwa ni smart na anafaa kuwa Rais. Siamini nani alimbadilisha akamleta huyu. Nape pia kuna kipindi alikuwa shujaa sana. Sasa najiuliza ndo...
0 Reactions
7 Replies
921 Views
Na WyEST, ARUSHA Wito umetolewa kwa Viongozi wa taasisi na wadau wanaojishughulisha na utoaji wa Elimu Jumuishi, kuendelea kushirikiana na Serikali katika kujenga shule kwa ajili ya wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC. Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata...
27 Reactions
153 Replies
20K Views
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka Watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana. Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton...
11 Reactions
91 Replies
7K Views
Othman Masoud ndiye Kiongozi mkuu wa kambi ya Upinzani huko Zanzibar na amekuwa na misimamo isiyoyumba. Freeman Mbowe ni Kiongozi mkuu wa kambi ya Upinzani Tanzania mwenye Msimamo wa Kati. Ni...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
UTANGULIZI Nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu na Asalaam Aleykum ndugu watanzania wenzangu, Katika kusoma kwangu historia ya ulimwengu toka nikiwa kijana mdogo mpaka hii leo, nimetambua kwamba...
40 Reactions
52 Replies
7K Views
03 Julai 2022 Unguja, Zanzibar. Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30. Imekuwa kawaida kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja. Dk...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ulifanyika juzi jioni...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya...
16 Reactions
161 Replies
11K Views
Orodha ni ndefu sans Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Rais Nyusi wa Msumbiji Rais Museveni wa Uganda Rais Kagame wa Rwanda Rais wa Ethiopia nk. nk Maguful alikuwa Hazina ya fikra za...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…