CWT wapiga mkwara walimu wanaojitoa uanachama

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,221
wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.

Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa cwt tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.

Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?

Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.

Mwl.
Mafuru.
Katibu cwt Tanganyika.
Katavi.
 
wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu...
Eeh
 
Pesa yao,, wanapangiwa matumizi...

Ujinga sana hii nchi
 
CWT inakufa haraka. Huyo katibu hana mamlaka ya kulazimisha mwalimu abakie kwa matapeli.

Chama kipya ndo mkombozi.
 
Nani kampa mamlaka ya kumlazisha mtumishi kuwepo kwenye chama cha wafanyakazi?
 
wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.

Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa cwt tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.

Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?

Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.

Mwl.
Mafuru.
Katibu cwt Tanganyika.
Katavi.
Katibu kuu na mweka hazina wake wanatumikia kifungo kwa ubadhirifu.
Wezi wakubwa cwt
 
Chama Cha Wezi Tanzania "CWT" kimeanza kukosa sera kinatumia ubabe na ulaghai kwa wakuu wa idara hususani maafisa utumishi halmshauri ili waendele kuwa majizi sugu katika nchi ila siku yao ipo tu.
 
wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.

Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa cwt tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.

Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?

Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.

Mwl.
Mafuru.
Katibu cwt Tanganyika.
Katavi.
Cwt Ni chama la wapigaji - kikokotoo kimewashindaje sasa
 
Back
Top Bottom