Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa...
Habari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani...
Tuseme tu ukweli mama ameupiga mwingi kwenye swala la bajeti.
Kwa ushauri zaidi.
PM
au
Email: menejawamakampuni@gmail.com
Let be smart in seriously issues.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
- Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu
Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa -...
Old is gold, ni kama alikuwa na maono fulani hivi ,pale Raisi wa mwanzo wa Tanzania Mwalim JK.Nyerere (Julius Kambarage Nyerere) alipowafurahisha wengi na kutupa msemo wa "Watanzania uchumi...
Morogoro: Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Ngollo Malenya amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Vijana wa Jamii ya wafugaji wa kabila la Wasukuma.
kuwalazimisha Wanawake Kwa nguvu kufanya nao mapenzi na...
Hodi jukwaani.
Nchi yetu imepitishwa katika Giza nene miaka 6 iliyopita, roho ya mauaji, mateso kutekana, kusingiziana mikesi ya hovyo, visasi, chuki na fitina ilitanda katika anga letu.
Mzaliwa...
Mbunge wa zamani wa Iringa mjini na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mch Peter Msigwa amechukizwa na kitendo cha kuitwa msaliti na viongozi wenzake wa Chadema baada ya kutoa maoni yake kuhusu...
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi...
Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena...
Enzi za DKT. Slaa pale CHADEMA hivi sasa Chana kingekuwa kimeshafanya utafiti juu ya bei za bidhaa mbalimbali na kutoa Waraka au Tamko.
Lakini siyo hii Chadema ya Mbowe na Mnyika, yaani ni bure...
Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo...
Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango...
Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo.
Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena...
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya CCM licha ya Mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni...
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022...
Sote tunafahamu kuhusu maumivu waliyopata wakulima msimu uliopita
Kutokana na bei za mbolea kuwa juu
Licha ya hali ya hewa kubadilika na baadhi ya sehemu kuwa na mvua chache ila haikuwa hivyo...
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku...
KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara...
Shaka huna nguvu ya kupambana na wauzaji wa Pembejeo feki mtwara ni michezo wameshaizoea.
Nimeshangaa kumuona Katibu wa itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi akiagiza mfanyabiashara wa mbolea...