Shaka Hamdu Shaka kufanya ziara kwenye maonesho ya Sabasaba leo Julai 6, 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Matangazo haya ya Ziara ya Mwenezi Shaka Hamdu Shaka yatakuwa Mbashara kupitia Mitandao ya Kijamii ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na Channel Ten. Usikose kufuatilia asubuhi hii.

#TulipotokaniKuzuri
#TuliponiKuzuriZaidi
#MatarajioniMakubwaZaidi

IMG-20220706-WA0001.jpg
 
Huyu anataka kufanya kuwa nchi hii ni ya kikomunist kama china yani Rulling part ñdo inaendesha Serikali, mpaka jeshi la china lipo chini ya chama CCP. Mambo ya chama na Serikali yatenganishwe. Wengine hatupendi mavyama, Bora nokajiunge Qnet
 
Huyu Shaka naona anajiona kuwa cheo chake ni kikubwa sana na anaweza kusema au kufanya chochote na akasikilizwa. Kama wana job description ya kazi yake basi arudi mezani aisome vizuri. Inaelekea anataka kuwa juu hata ya Katibu Mkuu!
 
Back
Top Bottom