Rais Samia usiishie kufuta kesi za kisiasa za wana-CHADEMA tu

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.

Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.

Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.

Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.

CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.

Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
 
Chongole na kinana wamuembee huyu kijana anateseka sana kwanini akina Mbowe wale bata halafu Sabaya anateseka tu kila kukicha ni uzushi haushi.
 
Maovu ya Sabaya yapo waziwazi ya kukata watu masikio,vidole na kupora mali.

Nakuhakikishia hata pale Sabaya akitoka hatakaa muda mrefu Mungu atatenda jambo kama la 17.03.2022

Utaona
Kwanini hilo jambo lisitokee akiwa huko huko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom