Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miongoni mwa sababu za kuongezeka umri wa kuishi kwa Mtanzania kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi miaka 74 ifikapo mwaka 2035 ni uboreshwaji wa huduma za afya. Serikali inahakikisha...
1 Reactions
1 Replies
818 Views
Eneo lilokuwa la wazi karibu na kilombero sokoni liliuzwa kwa kampuni lijulikanalo kwa jina EMOIL MARKET SOLUTION mwaka 2005 muda mfupi baada ya baraza la madiwani kuvunjwa na mkataba huo...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
CRDB ilikuwa Bank ya serikali lakini ikabinafsishwa GM akiwa huyo Kimei au John Rubambe sikumbuki vizuri Tulikuwa pia na Benki ya Nyumba THB, Benki ya Posta TPB, Benki ya Rasilimali TIB, Benki ya...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Rubani wa Ndege iliyotekwa mwaka 1982 na vijana waliokuwa wakishinikiza Mwalimu Nyerere ajiuzulu, amefariki dunia. Capt Deo Mazula alifariki tarehe 6 Januari 2022 na Kesho (Januari 11, 2022)...
12 Reactions
128 Replies
18K Views
Kazi iendelee. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Hii ni tafsiri ya mtoto wa form one mwaka 2022 huko shule NAMTUMBO SAMIALOGY ni sera/tawi la sayansi ya uongozi linalojikita zaidi na utoaji wa haki, huduma...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna wakati huwa namuelewa sana Rais Putin wa Russia Haya mambo ya Demokrasia ni kudanganyana tu hayana uhalisia wowote Ndio sababu nilimkubali sana yule Magufuli wa CCM mpya Mungu wa...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale. Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio...
55 Reactions
248 Replies
24K Views
Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) amesomewa mashtaka ya kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh4.2 bilioni akiwa amelazwa katika Taasisi ya...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Maafisa elimu kata ambao mwongozo wa sensa kitaifa unaelekeza wangeshiriki mafunzo kuanzia ngazi ya mkoa Hilo halijafanyika kwa mkoa wa shinyanga kwa wilaya ya shinyanga DC, MSALALA...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
UVCCM TAIFA JULAI 08, 2022 UONGOZI WENYE NEEMA Serikali ya awamu ya sita chini ya *Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN kupitia wizara ya Afya imetoa fedha kiasi cha Tsh. Bilioni 8 kusomesha madaktari katika...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Matunda ya Tanzania Royal Tour, Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania), Mhandisi. Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati...
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Watu wa aina ya Bashe hawafai kuwa viongozi kwa Katiba tulionayo, Kwa kauli zake za ubabe hana tofauti yoyote na hayati John Pombe Magufuli siku akikabidhiwa Madaraka makubwa Anatamka kauli...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Siku zote nimekuwa naamini kuwa mfumuko wa bei ni kitu kibaya hadi juzi kati nilipoona kinyume chake kwenye kitabu kimoja. Kabrasha hilo linasema kuwa mfumuko wa bei hadi wa 20 percent unasaidia...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Anayejua takwimu za miamala ya kodi atuambie maana tangu makato hayo yaanze nakumbuka tulitangaziwa kwa mwezi mmoja kupata bilion 68 hayo yalisema na Waziri wa fedha mMwigulu Lameck Nchemba@...
0 Reactions
3 Replies
413 Views
Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri. Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameendelea kupiga marufuku tabia za Watoa huduma kulazimisha wananchi wanaoenda kupata huduma za afya kulazimishwa kuchanja, ameeleza kuwa tabia hiyo ni kinyume cha...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona. Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa...
1 Reactions
8 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…