seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Watu wa aina ya Bashe hawafai kuwa viongozi kwa Katiba tulionayo, Kwa kauli zake za ubabe hana tofauti yoyote na hayati John Pombe Magufuli siku akikabidhiwa Madaraka makubwa
Anatamka kauli "Atailazimisha Bank kuu” na siyo kuomba ifuate ushauri wake wa kuzitambua Co operative Banks Katika kukopeshwa kwa kufuata models anazofikiria yeye kichwani kwake
Waziri Bashe afahamishwe hata CRDB Plc ya sasa ilikuwa Co operative Banks wakati Yeye hajazaliwa wala hafahamu maana ya Monetary Policy au Fiscal policy
Waziri Bashe afahamishwe Bank kuu duniani kote ni independent organ
Kuna mtu mmoja aliwahi kugombana na Gavana Benno Ndulu wakati huo huku Yeye alijua amesoma Chemistry pale jalalani kwa ufalme wake akadhani kazi ya Benki kuu ni kuwaambia sasa Print makaratasi ya shilingi ya kutosha tulipe wakandarasi
Yule Bwana Chemistry baada ya kuona amejaziwa makaratasi hakujua kumbe bidhaa toka ulaya na China zinahitajika pesa za kigeni na sio makaratasi ya shilingi ambayo alidhani yanatengenezwa bila mahesabu ya Ukuaji wa uchumi
Waziri Bashe aelimishwa na akasome maana na kazi za Bank kuu, Bank kuu haiendeshwi kwa matamko ya wanasiasa kama Robert Mugabe
Matamko ya Robert Mugabe ya kutokuzingatia ushauri yamepelekea Zimbabwe mpaka Leo hawajui watumie Fedha ya kimarekani au watumie dollar ya Zimbabwe au zote kwa pamoja
Katika maisha huwezi kujua kila kitu labda akina Michael Angel na wale waliochora michora kule sisten Chapel Vatican ndio waliokuwa wanajua kila kitu
Waziri Bashe anataka kujigeuza Yeye mwenyewe Afisa Kilimo, Gavana, CEO wa Bank za Biashara, Je anatofauti gani na Mkemia aliyekuwa Padri Yeye, Daktari wa korona Yeye, Ushauri wa uganga wa Kienyeji yaani kupiga nyungu yeye
Bashe aambiwe Bank kuu ina kazi kubwa kuu mbili tu yenye vipengele vidogo vidogo kadhaa
Kazi kubwa za Bank kuu Duniani ni kutekeleza sera mbili tu
1.Monetary Policy
2.Fiscal Policy
Sheria yetu ya kuanzishwa kwa Bank kuu ipo wazi, Tusiruhusu baadhi ya watu kuwa juu ya sheria na katiba ya nchi kwa kauli ya Bashe "Nitailazimisha Benk kuu ifuate ushauri wangu" Wewe nani na una utaalamu gani wa uchumi na ni model gani yako ya uchumi umewahi kupublish ili tukaisome na kuichambua