Ukweli kuhusu eneo la Kilombero Arusha huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu eneo la Kilombero Arusha huu hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Sep 29, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Eneo lilokuwa la wazi karibu na kilombero sokoni liliuzwa kwa kampuni lijulikanalo kwa jina EMOIL MARKET SOLUTION mwaka 2005 muda mfupi baada ya baraza la madiwani kuvunjwa na mkataba huo kusainiwa na aliyekuwa meya Lota Laizer.kwa kushauriwa na wataalamu na baadhi ya madiwani.Baadhi walioshiriki katika ufisadi huo ni aliyekuwa mwanasheria Andason msumba meya Lota laizer,diwani Karimu mushi na diwani wa viti maalum. Habari za uhakika walipewa hela inayozidi milioni 250.fedha hizo zigawanywa nyumbani kwa diwani karimu eneo la lemara,na ziliwasilishwa na mwanasheria Andason kwa kutumia gari aina pajero ambalo kwa sasa inamilikiwa na aliyekuwa meya lota laizer.Na kiunganishi kati ya halimashauri na kampuni husika ni aliyekuwa mtumishi idara ya ardhi anayejulikana kwa jina moja urassa ambaye inasadikika ni mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo akiwamo Basil pesambili mramba.kwa hiyo wa machinga wako sahihi kukomboa maeneo yetu ya wazi.bado kuna eneo lingine la wazi liko lovolosi pia wamejimilikisha hivohivo mramba na urassa.
   
 2. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Lengio na Wana JF,
  Shamba la Bibi laendelea kupuputiwa,
  Mungu tu ndio mwenye kuweza Kuepusha Mabalaa haya.
  Nawakilisha   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Itafika sehemu vijana wataanza kuvamia makazi ya mafisadi na kuwapa kichapo humohumo kwenye majumba yao. Maana hawa jamaa wamezidi kwa uchu wa mali. Hivi hizo pesa wanamtafutia nani hasa. Yaani unadhulumu kwa ajili ya mwanao??? Kwa nini usimpeleke shule nzuri na yeye akaja kujitafutia maisha mwenyewe akiwa na elimu bora??? Kwani umemzaa mlemavu??? Mi naamini hawa jamaa kama ni pesa za kula wanazo, sasa tamaa za nini jamani??? Si mtafute tuu kwa halali???
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  muanzisha thread uko sahihi kabisaa,,, uhusiano wa pesambili na huyo urassa (MICHAEL URASSA), naufahamu sana,tangu siku nyingi ni mabesti sana, urassa amejenga hekalu lake maeneo ya njiro arusha na kipindi hicho pesambili akiwa waziri alikua akija arusha anafikia kwa urassa, na jumapili wanakuja wote kanisani njiro parish - kanisa katoliki... na hiyo kampuni pia ya ERMOIL marketing iliwahi kumiliki kituo cha mafuta maeneo ya njiro, chini kidoogo ya mwisho wa lami, baada ya skendo za kina mramba kulipika, wakaibadilisha jina kwa sasa ipo und
  er SANGO petrol...
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Pasua jipuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Ongeza na Kibo Palace Hotel!!! Owner ni Mramba!! Kama kuna shareholders wengine watajeni tu but Basil ndiyo kidedea pale!! Mgonja ya kwake iko mjini Arusha katikati, ni hotel pia!!!! tunaliwa hadi kusikoliwa, mafisadi. 2015 lazima sheria ya kutaifisha irudi, yaani lile azimio maarufu la Arusha.
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mussa mkanga yule diwani wa sombetini pia alijiuzulu kwa Skandal hilo,kumbuka mussa mkanga ndo anatumiwa kushtaki na kuupoka ubunge wa lema.KATIKA SKANDAL PIA alikuwa na paul laiser na diwani viti maalum ambaye ni hawara wa mkanga aishiye kambi ya fisi maromboso,nadhani anaitwa mama Soka.
   
 7. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Hata Zimbabwe walianza hivohivo
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Karim mushi!!kumbe naye fisadi?ooh maskini diwani wetu! Japo sikumpa kura yangu lakini kanisikitisha sana
   
 9. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,278
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280


  Michael Urassa aliekuwa (au bado yupo) Manispaa kwenye mipango mji, right??
  Kama ni huyu jamaa ni Beste wa Mramba saaaana. Amejenga Njiro chini kidogo ya Amani Bar karibu na jeshi, kwa uoga jumba kalipiga layers tatu za Fensi ya umeme, kafunga CCTV kila kona.
  Pesa zake anaziweka account tofauti tofauti, kwa kuwafungulia mkewe na wake wote accounts ili kuhifadhi fedha hizo.

  Huyu jamaa Ndie anaesimamia kampuni ya Mramba ya Tanganyika Mines.
  Jamaa ni Fisadi Bigtym.
   
 10. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  kabisa mkuu.... Ndo mana ccm kamwe haitaweza kulitwaa jimbo la arusha mjini,,,, most of the people wanaujua uozo ndani ya jiji hili ulosababishwa na chama cha mauaji
   
 11. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu hayo unayosema sooon yatatimia. Nilikuwa Arusha juzi na nikashuhudia jinsi wale vijana walivokuwa wanavunja ule uzio wa mabati na kila mmoja kuondoka na bati lake.
  Kwa kweli ile ni ishara kwamba vijana watafikia mahali na kuvamia maeneo au nyumba zilizojengwa kwa uvamizi wa kifisadi wa maeneo ya wazi. Na walikuwa wanaimba ''Nchi Imeuzwa Na Sisi Tuchukue Chetu''.
   
 12. r

  raymg JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh kazi ipo....ukombozi wa nchi hii upo mikonon mwa vijana! Na sio CC au CDM...
   
 13. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  zexactly mkuu... Huyo huyo unaemsemea wewe.. Siku hizi hayupo tena manispaa.. Kashatoka... Jamaa wamejikatia viwanja huku njiro, open space kibaoo,,, kuna moja pale njiro container kama unapajua imezungushiwa ukuta, kiwanja kama cha eka 5 ivi,,,ndo hao hao,, pale mimi nimecheza mpira nilivokua mdogo, leo hii washajimilikisha.... Kweli nchi imeuzwa
   
 14. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kweli wanajf wa arusha ni kiboko aisee
   
 15. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  alikuwa mwanasheria na kaimu mkurugenzi manispaa ya mtwara na sasa kahamishiwa manispaa ya lindi kama mwanasheria, kumbe ufisadi kaanza siku nyingi ehh!
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  inapendeza kuona wananchi wameamka
  JF bonge la darasa.
  soon tutashuhudia vijana wakivamia mafisadi hadi makwao kurudisha walivokwapua
   
 17. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,010
  Likes Received: 2,225
  Trophy Points: 280
  Umesahau pia Mussa Mkanga aliyekuwa diwani wa Sombetini nae alihusishwa kwenye hiyo scandal na kutimuliwa udiwani wake
   
 18. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Mungu naye anatusaidia kwa kuwamaliza kwa stroke,pressure,kisukari nk,

  Isitoshe muda wa kuvifaidi kwa uhuru unaelekea ukingoni so soon 2015,nawaomba wa TZ hasa vijana msihadaike tena.
   
 19. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hata na sie tusipoangalia lazima na sie tutauzwa jamani
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Mkuu! Hakika uko sahihi kwa 100% na bila shaka hili janga likianza nafikiri hapatatosha!
   
Loading...