HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO
NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023
Utangulizi
Ndugu Waandishi wa Habari, kama...
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa...
Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa...
Wana JF
Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache...
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Swali kwa faida ya watanzania ๐
Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia .
Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi...
Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua...
PALE MFALME ANAPOGEUKA WATU WAKE!
Anaandika, Robert Heriel
Pale Mfalme anapogeuka watu wake, Raia wa nchi yake hugeuka Watumwa wa Wageni. Wananchi hutumikishwa na Wageni, hufanywa vijakazi na...
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .
Hivi vyama vina sifa kuu Moja...
Wasalaam
Na Galila Wabanh'u
Nimesoma makala ya Mhe Zitto Zubeir Kabwe mbunge wa Kigoma mjini akipotosha juu ya mradi wa bandari ya Bagamoyo kama moja ya mradi unaopaswa kutekelezwa katika eneo...
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu...
Leo Waziri Mkuu mh Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika swala na Baraza la Eid al Adha iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni
Waziri Mkuu ametumia Sherehe hizi kuwaeleza waislamu na...
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za...
Kwa maoni yako binafsi bila kuangalia upo upande gani wa siasa, ukaambiwa utoe maoni yako juu ya upatikanaji wa katiba mpya ungechagua yapi kati ya haya:
1. Serikali moja, Rais wa JMT bila kuwepo...
Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku...
Wakuu salaam,
Kwa wiki kadhaa Sasa duru za kisiasa na kijamii zimetawaliwa na habari za wamasai wa Ngorongoro na Loliondo.
Wengi wanafikiri kesi za wamasai wa maeneo haya zinafanana Ila ukweli ni...
Nauliza tu, inakuwaje Upinzani Zanzibar wanaweza kuisakama Serikali tu maximum na tunaona mpaka Raisi Hussein inabidi aonekane kwenye vyombo vya habari kujielezea mwenendo wa serikali yake?
Ukija...
Shahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya...