Joyce Mukya aliyetajwa kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Shahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya nikakaa katikati na upande wa nyuma wa Mbowe akakaa mlinzi wake.

Shahidi: Baada ya pale kutoka Kizo hotel gari ilielekea uelekeo wa Arusha mpaka Aishi Hotel Machame. Baada ya kushuka kwenye gari alimwambia yule mbunge (Joyce Mukya) atangulie ndani sisi tuna kikao kifupi.
 
Acha siasa za kishamba,acha kutafuta laana .Umekosa cha kuwafurasha mabwana zako hapo Lumumba.Kama unatafuta hela andika kwa kuandika ,andika articles za kukusaidia kuongeza kipato.CCM itapita na laana utapata wewe
 
Shahidi: Aliniambia (Freeman Mbowe) pole sana kwa kukuweka, yule mlinzi wake alinifungulia mlango wa gari na yeye mwenyekiti aliingia na nyuma aliingia aliyokuwa mbunge wa viti Maalum Joyce Mukya nikakaa katikati na upande wa nyuma wa Mbowe akakaa mlinzi wake.

Shahidi: Baada ya pale kutoka Kizo hotel gari ilielekea uelekeo wa Arusha mpaka Aishi Hotel Machame. Baada ya kushuka kwenye gari alimwambia yule mbunge (Joyce Mukya) atangulie ndani sisi tuna kikao kifupi.
Na wewe usisahau kutuambia huyo aliyekulalia kwenye avatar yako ni nani!
 
Justin Eliya Kaaya shahidi #2 upande wa mashtaka ni huyu hapa:

View attachment 1988638

Huyu ndiye shahidi wa kulipwa aliyeandikishwa maelezo baada ya kufutiwa mashtaka.

Shahidi huyo mamluki anayedai kuwa kuwa ni mkulima wa karoti, nyanya, na vitunguu anadai pia hakuwahi kuwa mwanachama wa CCM wala chama chochote cha siasa.

Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Huyo ndiyo Justin Kaaya mwenye kudai Sabaya ana mke japo Sabaya mwenyewe anadai yeye ana pisi kali ya ukweli, ambayo ndiyo kwanza alikuwa katoka kuitolea mahari.

Huyu tutamdadavua zaidi baada ya kukutana na ile dream team yote ya mawakili wasomi kesho.
Siku nyingi huu mtandao uanonekana kuhodhiwa na chadema..sheria inasemaje kuhusiana na kuonyesha picture ya .tu pasipo ridhaa yake..hamuoni yakwamba inaweza ingamtambilisha kirahisi kwa watu wenye nia mbaya na yeyee
 
Back
Top Bottom