Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.
Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa...
KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la...
Hii ndio Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Raia Mwema , Inadaiwa kwamba kitendo cha Ofisi ya Msajili kukalia Usajili wa Umoja Party , ambacho inasemekana kiliundwa na wafuasi wa JPM , Plan B ni...
Akiwa Bunda Waziri Makamba amekutana na vijana wa bodaboda katika kijiwe chao na kusikiliza kero zao
Waziri Makamba alisimama ghafla kijiwe hapo baada ya kuona Petrol inauzwa kijiwe ikiwa...
Waziri wa Nishati January Makamba ametembelea Kisiwa cha Ukara na kuwaahidi watapata bei mpya ya Umeme yenye unafuu kuanzia August Mosi 2022.
Pia Makamba ameongea na mwekezaji wa Umeme hapo Ukara...
Wateule wa Rais wamekuwa vinara wa kuiba fedha za serikali.
Wakati umefika sasa wa serikali kukamata mali zao bila kujali zilipatikana kwa fedha gani zitaifishwe na kuwa mali za serikali ili...
-Hakuna chama chochote kilichoongoza nchi zaidi ya chama cha ccm wizi wao mikataba mibovu wao utoroshwaji wa madini wao wizi wa mali za umma wao tangu tumepata uhuru
- Majizi yanazidi kutafuna...
Zamani wakati wa ufalme, nchi ilikuwa mali ya mfalme. Mapato yote ya nchi ni yake mwenyewe. Akikopa akashindwa kulipa anafilisika mwenyewe. Wafalme walikuwa makini sana kwenye kukopa. Maana...
Hali inayojitokeza sasa baada ya kuwa na Bunge la chama kimoja inaleta mashaka juu ya uelekeo wa nchi yetu.
Nina uhakika katiba hairuhusu serikali kupanga fungu la bajeti kukistawisha chama cha...
Baada ya Kampeni Kabambe za KUFUNDISHA KUHUSU UMUHIMU WA KATIBA MPYA zilizofanywa na CHADEMA nchi nzima , Kampeni zilizogharamiwa , Jasho , Damu , Vifungo , kupotea na hata vifo , Hatimaye sasa...
Taarifa zinaonyesha kwamba Madabida, Diallo, Shekifu, Mgeja, Idd Azan na Lembeli ni miongoni mwa Majina Makongwe ambayo yamejitokeza kuomba uongozi wa CCM, jambo lilozua mnyukano mkali kwenye...
Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima...
Wakati umefika wa kuangalia utaratibu mpya wa kuwapata Wakurugenzi wa hizi Halmashauri. Utaratibu wa kuwateua upo kisiasa sana ili kuisaidia CCM wakati wa chaguzi mbalimbali lakini kiuchumi ni...
Eneo pekee ambalo sikumuelewa mpendwa wetu hayati Magufuli ni pale alipowateua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri.
Sina shida kwenye ukuu wa wilaya kwani hata enzi za Tanu Madereva...
Wananchi waliambiwa ni beacons tu zinawekwa hakutakuwa na kuondolewa wala kusumbuliwa wasichunge na wengine tukaamini huenda ni mipaka tu inawekwa , ila kwa sasa mifugo kwa mamia inakamatwa na...
Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke...
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
January Makamba hongera kuhamasisha matumizi gesi majumbani. Ondoeni kodi zote tuwe na green country
Kutoa watu kutumia kuni kuhamia gesi hakuwezi fanikiwa kama kodi kwenye gesi ya kupikia ziko...
Nasema hivyo kwa sababu!
Rais wetu kashafanya ziara ndani ya nchi yetu hususani kwenye mikoa ile ile mara mbili au tatu lakini hatujaona ikifanya hivyo kusini mwa nchi!
Mfano Rais wetu...
Maridhiano baina ya ccm na chadema ni wazo zuri sana kwa ustawi wa nchi.
Katika maridhiano hayo chama cha chadema ndicho kilicho umizwa sana na serikali ya ccm.Kwa kuwa ccm inataka maridhiano...