CCM kweli Taifa mmelifikisha hapa tulipo!

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
-Hakuna chama chochote kilichoongoza nchi zaidi ya chama cha ccm wizi wao mikataba mibovu wao utoroshwaji wa madini wao wizi wa mali za umma wao tangu tumepata uhuru

- Majizi yanazidi kutafuna pesa za umma kila kukicha kashifa ni wao mfano Arusha na daresalaam waziri mkuu amechukua hatua pote za kuwasimamisha kazi.

- CCM ya sasa inajenga vyoo kwa pesa za mkopo na madarasa huku viongozi wake wakiendelea kuguswa na kashifa mbalimbali za ubadhilifu wa fedha

- Kwanini ripoti ya CAG husomwa hadharani lakini utejekezaji unakuwa hamna kwa wabadhilifu?

Tanzania yetu kuna watu wameshiba kwelikweli na wanapeana vyeo hawastaafu nchi ni kama nikundi cha watu wachache kimejimilikisha wengine wanalia wengine wanafrahi na kugonga cheers kwenye makongamano.
 
Daa late, mzee wangu alikuwa mwanaccm shiba ila nikiona movie zote zinavyochezwa sipati usingizi.
 
-Hakuna chama chochote kilichoongoza nchi zaidi ya chama cha ccm wizi wao mikataba mibovu wao utoroshwaji wa madini wao wizi wa mali za umma wao tangu tumepata uhuru

- Majizi yanazidi kutafuna pesa za umma kila kukicha kashifa ni wao mfano Arusha na daresalaam waziri mkuu amechukua hatua pote za kuwasimamisha kazi.

- CCM ya sasa inajenga vyoo kwa pesa za mkopo na madarasa huku viongozi wake wakiendelea kuguswa na kashifa mbalimbali za ubadhilifu wa fedha

- Kwanini ripoti ya CAG husomwa hadharani lakini utejekezaji unakuwa hamna kwa wabadhilifu?

Tanzania yetu kuna watu wameshiba kwelikweli na wanapeana vyeo hawastaafu nchi ni kama nikundi cha watu wachache kimejimilikisha wengine wanalia wengine wanafrahi na kugonga cheers kwenye makongamano.
🚮🚮🚮
 
RNA vs RWANDES
 
CCM ya sasa inajenga vyoo kwa pesa za mkopo na madarasa huku viongozi wake wakiendelea kuguswa na kashifa mbalimbali za ubadhilifu wa fedha
Fedha za mikopo zinaishiaga mikononi mwao.

Tangu tupate uhuru ccm imekopa namba of trilions. JE unaweza kuonesha zimefanya nini?
 
Na ukiwasikiliza viongozi wao wanavyokemea hayo madudu kwenye hotuba zao unaweza kudhani hii nchi iliwahi kuongozwa na chama tofauti.

Chini ya utawala wa CCM nchi hii, tunachofanya ni kubadilisha matatizo tu.
 
Kitabu kipo ukurasa was mwisho kwani kauli mbiu zote zimeisha na muda ndo uko mwisho kinasubiriwa kipenga kutoka Ulaya ili chama changu kianze mtinange wa kujibu hoja zisizojibika
 
ccm ukikuta wanatuhumiana unaweza fikria hskuna sheria za kuwadhibiti ni miaka sasa 61 tangu tumepata uhuru munaongoza nchi na mnaiba fedha za umma kila siku mnasemana nyie wenyewe na cha ajabu wale mnaowatuhumu nyie wenyewe mnawapa nafasi za juu ndani ya serikali na chama kwa ujumla ! watanzania wa sasa sio wa mwaka 1961 wengi wanauelewa walichokikosa kwa sasa ni ujasiri wa kuamua kuhusu nchi yao sasa tengenezeni wenye nacho na wasionacho huku huduma za kijamii zikidirola mtakuja kuona! leo mtu anastaafu kesho anarudi mara nwenyekiti wa bodi mara mwenyekiti wa chama kesho hivohivo hivi hamjui watanzania wapo zaidi ya milion 60 tunaenda kwenye sensa mtajuwa tupo wangapi!

ccm msiamini vyombo vya dola kuwalinda ipo siku vitawageuka kwani katika vyombo hivyo siyo wote watathibitiwa mtatafutana kama huko srilanka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom