Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,085
6,564
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.

Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa na mizengwe kibao. Ambao baada ya hayati JPM kuingia madarakani aliziba mianya yao na kuwafanya wakose raha kabisa maana walizoea kuwaibia watatanzania

Sasa hivi wanamtumia Zitto kumchafua hayati JPM ili aonekane kama alikuwa kiongozi fisadi na muonevu. Zitto alishughulikiwa na hayati JPM kwa siasa zake za kinafiki za undumila kuwili hiyo hakuwa na nafasi za kupiga dili kama enzi za Jakaya.

My take; Watanzania sio wajinga wameshashutuka juu ya mpango wa kumchafua hayati JPM.
 
Mbona hatusikii watu wakotekwa au kuokotwa maiti kwenye viroba, mbona hatuoni wanasiasa wakipigwa risasi hadharani lazima tujue nchi ilipotea njia
Mbuge aliyelia mwezi ulioopitabungeni wameuuwa watu sita akiwemo na nduguye ilikuwa kipindi cha magufuli? Acheni kumchafua walikotwa kwenye viroba ni magaidi wa kibiti je? Ulitaka magaidi waachiwe wadhuru ndugu zetu wasiokuwa na hatia kama kuna ndugu zako walikuwa kule na wakaghuguliwa ni sahihi acha kumchafua JPM kawalilie vyombo vya ulinzi ndo wenye majukumu ya kulinda nchi uone watakufanya nini?
 
Magufuli ndiye Rais fisadi Papa bora wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule wa historia.

16401626968090.jpg
16401627793601.jpg
1782762_tapatalk_1528448721303.jpeg
3o-.jpg
 
Magufuli ndiye Rais fisadi Papa bora wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi wake.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule wa historia.

View attachment 2057729View attachment 2057730View attachment 2057732View attachment 2057733
Acha kukariri mambo yasiyo na uthibitsho. Mwenyekiti wa PAC alitoa majibu kuwa hakuna pesa no iliyoibiwa.
 
Magufuli... Muacheni apumzike aisee kama mlikua mnampenda you had a 1000 opportunities kumshauri vyema ila mkaamua kua walamba viatu na haya ndio madhara yake watu wakisema kidogo tu mnakimbilia kusema anachafuliwa.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom