Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa uzalendo dhidi ya IPTL. Waliokuita tumbili wao ndio matumbili

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
2,138
1,388

Mh Rais Magufuli akiwa ziarani Kigoma, Uvinza amezidi kusisitiza kuwa hii vita dhidi ya mafisadi na wale wote wanaotumia madaraka yao kujinufaisha wenyewe haitamuacha mtu.

Akimpongeza Kafulila kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kuwapigania watanzania kuhusu IPTL hadi akaitwa tumbili, akifunguliwa na kesi n.k. Amesema waliomuita tumbili wao ndiyo matumbili.

Amesisitiza pia kuachana na siasa za uvyama badala yake tuhimize maendeleo.

My take:
Kwa ujumbe huu wa leo, ni kiashiria kibaya kwa waliodhani Rais anazuga tu.
 
Mh Rais Magufuli akiwa ziarani kigoma,uvinza amezidi kusisitiza kuwa hii vita dhidi ya mafisadi na wale wote wanaotumia madaraka yao kujinufaisha wenyewe haitamuacha mtu.
Akimpongeza Kafulia kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kuwapigania watanzania kuhusu IPTL hadi akaitwa tumbili,akifunguliwa na kesi n.k. Amesema waliomuita tumbili wao ndiyo matumbili.
Amesisitiza pia kuachana na saisa za uvyama badala yake tuhimize maendeleo.
Kwa ujumbe huu wa leo,ni kiashiria kibaya kwa waliodhani Rais anazuga tu.
Acha kujipendekeza wewe
 
Mh Rais Magufuli akiwa ziarani kigoma,uvinza amezidi kusisitiza kuwa hii vita dhidi ya mafisadi na wale wote wanaotumia madaraka yao kujinufaisha wenyewe haitamuacha mtu.

Akimpongeza Kafulila kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kuwapigania watanzania kuhusu IPTL hadi akaitwa tumbili,akifunguliwa na kesi n.k. Amesema waliomuita tumbili wao ndiyo matumbili.

Amesisitiza pia kuachana na siasa za uvyama badala yake tuhimize maendeleo.
Kwa ujumbe huu wa leo,ni kiashiria kibaya kwa waliodhani Rais anazuga tu.
Chenge na tibaijuka matumbo joto
 
Duu!!! Ke da mwangukia kafulila??
 
Akimpongeza Kafulila kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kuwapigania watanzania kuhusu IPTL hadi akaitwa tumbili,akifunguliwa na kesi n.k. Amesema waliomuita tumbili wao ndiyo matumbili.
Kwa staili hii naweza kusema nchi itapona.
Tukijifunza kuwapongeza waliofanya vyema
hata kama ni wa upinzani taifa litaendelea.

Nampongeza sana rais kwa kuliona hili
nasubiria awapongeze wapinzani
wengine ambao mpaka walifukuzwa
bungeni kwa kudai mikata bora ya madini
na hapo ndo zana ya rais kuwa mzalendo
itawakuna walio wengi wanaopenda taifa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom