Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiongea katika kipindi cha Malumbano ya Hoja ITV kilichodhaminiwa na Chama cha Wanasheria, mzee Ngowi amesema ni vema Katiba mpya ikapigiwa kura sasa. Ngowi amemuomba Rais Samia kuachana na...
1 Reactions
2 Replies
874 Views
Najua mtanipinga, lakini tusaidiane kuelewa kidogo. Kwanza asieshukuru kwa kidogo hawezi kuwa na shukrani kwa makubwa. Watumishi tulkua na matarajio makubwa sana juu ya 23%, lakini imetokea...
0 Reactions
4 Replies
691 Views
Toka January Makamba achaguliwe na Mh Rais mwaka jana kuwa Waziri wenye dhamana ya Nishati kumekuwa na mijadala ya hovyo dhidi yake... Wizara ya Nishati kwa miaka nenda rudi imekuwa ni wizara...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa CCM pamoja na Mwenezi ni baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ambao tuseme tu ukweli walipaswa kuwa viongozi wa Jimbo au Wilaya lakini siyo viongozi wa Kitaifa. Tukumbuke Mwenyekiti...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mhe rais kumeibuka kwa malalamiko kutoka kwa watumishi wa umma wa kanda ya ziwa hususan kwa mikoa iliyopo pembezoni mwa nchi jirani na ile iliyopo karibu na Geita kuwa wakuu wa mikoa hao ni wababe...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema suala la Mikutano ya hadhara ya siasa halina haja ya kusubiri Katiba mpya iruhusiwe sasa Mnyika amesema hakuna nchi duniani yenye mambo kama haya ya...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatumia mfumo wa 'Contrarian approach' kwenye teuzi ambao kisiasa unawapa fursa Viongozi wa juu kufanya uamuzi ambao hautarajiwi na wananchi walio wengi, Mfumo huu...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba kutoa Rai kwa serikali! "Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out! Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wameaminiwa ila wanawakera watu kwa mambo yao mabaya na kauli mbaya.
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Habari ndugu wanajukwaa.. Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama...
1 Reactions
4 Replies
592 Views
1.Taaharuki na kushusha morali ya kufanya kazi kwa watumishi wa umma baada ya ongezeko kiduchu ya mishahara 2.Kumchonganisha Mh Rais na watumishi wa umma kuhusu ongezeko la mshahara. 3.Ofisi ya...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amemshukuru mkuu huyo...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Ninashauri Rais amteue January Makamba awe balozi na apangiwe nchi ya kuiwakilisha.
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Kwa kifupi sana Mh Kafulila, Mh Happi, Mh Gabriel na Mh Brigedia wote OUT Mh Rose na Mh Batilda Kazi Inaendelea Niwatakie kila la kheri wale waliotoka.na hawa waliobaki Tumshukuru Mungu...
0 Reactions
6 Replies
826 Views
1. Mwanasheria mkuu wa serikali anasema anatambua watu 85 tu katika kumbukumbu ya Tanroad waliopewa notisi ya kubomoa majengo ndani ya hifadhi ya barabara. 2. Mwanasheria mkuu anadai Zoezi la...
9 Reactions
58 Replies
6K Views
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba, Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu...
9 Reactions
54 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais wa TUCTA mh Nyamhokya amesema wa.ewasilisha mapendekezo yao ya Mishahara serikalini kwa maandishi Nyamhokya amesema wamependekeza wenye mishahara mikubwa waongezwe 15% na wale wa Kima Cha...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…