Waziri Makamba: Tunataka tuwe na Mchanganyiko sahihi wa vyanzo mbalimbali vya Umeme kwenye Gridi ya Taifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Waziri wa Nishati January Makamba amesema serikali inataka iwe na Mchanganyiko sahihi wa vyanzo mbalimbali vya Umeme kwenye Gridi ya Taifa

Lengo ni kwamba chanzo kimoja kikitatizika kingine kinaokoa jahazi mfano pakiwepo ukame wa mvua

Makamba amevitaja vyanzo hivyo kuwa ni pamoja na Maji, Gesi Upepo na Joto ardhi

Source Star tv
 
Hajataja na nuclear Jo?vipi na jua?
 
Jambo jema sana..chamsingi pambana maliza hicho chanzo chenye umeme mwingi..kisha pambana na vyanzo vingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sijui Makamba ana msinambi gani na wana CCM wenzake!!

Maana kila analolisema huonekana kama ni tusi kwao na kila alifanyalo huonekana kama analeta kinyamkela kwenye nyumba yao ya ibada.
 
Nchi inahitaji kuwa na vyanzo vingi mbadala vya umeme ili kuhakikisha kunakuwepo uthabiti wa upatikanaji wa umeme kongole kwako raisi ajaye mwenye maono, mfumo Kristu chali!!!!!
 
Waziri wa Nishati January Makamba amesema serikali inataka iwe na Mchanganyiko sahihi wa vyanzo mbalimbali vya Umeme kwenye Gridi ya Taifa

Lengo ni kwamba chanzo kimoja kikitatizika kingine kinaokoa jahazi mfano pakiwepo ukame wa mvua

Makamba amevitaja vyanzo hivyo kuwa ni pamoja na Maji, Gesi Upepo na Joto ardhi

Source Star tv
Mumechelewa Sana,Kenya inaongoza Afrika kwa kutumia geothermal power na inachangia sehemu kubwa ya umeme wao.
 
Pls my minister Makamba fanya yafuatayo kuhusu suala hili la umeme;Peleka mswada bungeni ili Tanesco wa deal na ununuzi wa umeme na usambazaji tu wasiwe wazalishaji wa nishati hii,private manufacturers waruhusiwe kuzalisha umeme na kuu feed on our national grid (tanesco wawe wanunuzi),tanesco ina wafanyakazi wengi pls wapunguze ili kuleta ufanisi
 
Waziri wa Nishati January Makamba amesema serikali inataka iwe na Mchanganyiko sahihi wa vyanzo mbalimbali vya Umeme kwenye Gridi ya Taifa

Lengo ni kwamba chanzo kimoja kikitatizika kingine kinaokoa jahazi mfano pakiwepo ukame wa mvua

Makamba amevitaja vyanzo hivyo kuwa ni pamoja na Maji, Gesi Upepo na Joto ardhi

Source Star tv
Kama Taifa, tutakimilishe mradi mmoja mkubwa kwanza kabla ya kuruka ruka. Sasa hivi tuna bwawa la Mwl Nyerere ambalo tangu Makamba aingie kwenye hiyo WIzara kumekuwa na story kuungaunga. Makamba akamilishe mradi wa Mwl Nyerere, una uwezo wa kuongeza umeme karibu mara mbili ya kiwango kinachozalishwa sasa. Hii miradi mipya imejaa madili ya hovyo mwisho wa siku bei ya umeme haitashuka.
 
Back
Top Bottom