Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,491
142,730
Wakati mbunge wa viti maalumu mh Magige akichangia bajeti ya Nishati ghafla mwenyekiti ameahirisha bunge kwa nusu saa na ametoka ukumbimi

Tutawajuza yaliyojiri

Source TBC

======

Mwenyekiti wa Bunge wakati akiongoza kikao cha Bunge ameahirisha shughuli za Bunge kwa nusu saa baada ya kukosekana Waziri na Naibu wa Nishati, Bunge lilitaka kujadili hotuba ya bajeti ya Nishati iliyotolewa jana na Waziri January Makamba.

 
Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, kwenye kikao cha baraza hilo, aksikika akimu-address mmoja wa mawaziri

"mwanangu Bashungwa"

Bila uoga, hakuna nidhamu
 
Back
Top Bottom