Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,980
- 4,914
Pesa za umma zinakaa kwenye akaunti muda mrefu watendaji wake hawajui pesa hizo zinatakiwa ziende kwenye miradi iliyokusudiwa ni kuwaza waziibe vipi ndiyo maana inafikia Wakuu wa Wilaya wanavutana na Wakurugenzi kitu ambacho kinafanya mwenye meno anabaki na asiye na meno anafukuzwa kazi!
Hawa Madiwani na Wakurugenzi ni watu hatari kwenye fedha za umma wanawaza matumbo yao hata hivyo hizo pesa ikionekana Mbunge hajapewa percent yake ndiyo maana wanaanza kuibua madudu
Hayo ndiyo maisha ya Mtanzania katika siasa.