Fatma Mwasa na Halima Dendego taswira halisi ya 'unamjua nani'

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.

Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM. Sasa Samia naye kishaamua liwalo na liwe. Anagawa teuzi kwa Ndugu na Jamaa. Alianza na Ma DC wachache akiwamo yule binti wa Mkuranga. Leo angalia akina Fatma Mwasa ambaye yupo kwenye NGO ya Wanu Mtoto wa Rais. Anyway moyoni anasema mbona Magufuli alifanya wacha na mie nifanye tu.
 
Uteuzi wa wamama haws wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.

I nachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM. Sasa Samia naye kishaamua liwalo na liwe. Anagawa teuzi kwa Ndugu na Jamaa. Alianza na Ma DC wachache akiwamo yule binti wa Mkuranga. Leo angalia akina Fatma mwasa ambaye yupo kwenye NGO ya Wanu Mtoto w Rais. Anyway moyoni anasema mbona Magufuli alifanya wacha na mie nifanye tu.
Nchi imeoza hii kitambo , ukiona nchi imenormalize nepotism na corruption ujue ni failed state hiyo ,Hamna kitu
 
Uteuzi wa wamama haws wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.

I nachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM. Sasa Samia naye kishaamua liwalo na liwe. Anagawa teuzi kwa Ndugu na Jamaa. Alianza na Ma DC wachache akiwamo yule binti wa Mkuranga. Leo angalia akina Fatma mwasa ambaye yupo kwenye NGO ya Wanu Mtoto w Rais. Anyway moyoni anasema mbona Magufuli alifanya wacha na mie nifanye tu.
Hizi ndizo hulka za kisiasa zipo dunia nzima. Vigumu SSH awaache wana CCM wenzake aje ampe ukuu wa mkoa Halima Mdee!. Hata kama anaiva nae vizuri hao wana CCM wenzake watamshangaa na kumsimanga.
 
Tena Samia ana huruma sana. Mm nikiwa rais watoto wangu, shemeji zangu na ndugu zangu wote ndiyo watapewa uwaziri.

IGP, CDF, ma(RPC, RAS, DAS, DC, DEO, REO et.c) watakuwa watu wa kutoka kijijini kwangu tu.
Ha ha ha kabisaaa
 
Tena Samia ana huruma sana. Mm nikiwa rais watoto wangu, shemeji zangu na ndugu zangu wote ndiyo watapewa uwaziri.

IGP, CDF, DCI, DPP, gavana, ma(RPC, RAS, DAS, DC, DEO, REO et.c) watakuwa watu wa kutoka kijijini kwangu tu.
😂😂😂😂haki ya mungu.
Wanamuonea tu rais
Mbona mwenyekiti wa kijiji anateua anaowajua.
Wadiwani nao hivo hivo
 
Hizi ndizo hulka za kisiasa zipo dunia nzima. Vigumu SSH awaache wana CCM wenzake aje ampe ukuu wa mkoa Halima Mdee!. Hata kama anaiva nae vizuri hao wana CCM wenzake watamshangaa na kumsimanga.
Halima siyo CCM mwenzake tu Bali pia ni hawara wa tezi dume na watu wengi wanafahamu kuhusu jambo hilo...
Huwa sishangai huku kwetu binti akizaliwa na sura nzuri akili zake anawekeza kwenye dressing table tofauti na wenzetu ambapo sura ni mengineyo nguvu kubwa inawekwa darasani!
 
Uteuzi wa wamama haws wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao.

I nachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM. Sasa Samia naye kishaamua liwalo na liwe. Anagawa teuzi kwa Ndugu na Jamaa. Alianza na Ma DC wachache akiwamo yule binti wa Mkuranga. Leo angalia akina Fatma mwasa ambaye yupo kwenye NGO ya Wanu Mtoto w Rais. Anyway moyoni anasema mbona Magufuli alifanya wacha na mie nifanye tu.
Futuma ndo yule aliyekuwa DC Kigamboni ???!
 
Daah.

Hao wamaza ukiwaangalia wamechoka mno.

Sioni ni kwa namna gani watakimbizana na kasi ya ulimwengu wa sasa.

Nepotisim ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom