Historia iliyowekwa na CCM katika chaguzi za 2019 na 2020 ni kuchafua na kuharibu chaguzi

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Kuna Kiongozi Kaisifia CCM kuwa Iliweka HISTORIA ya Kushinda Chaguzi za Mwaka 2019 za Serikali ya Mitaa na Mwaka 2020 Uchaguzi Mkuu

Naomba nimkumbushe tu DUNIA nzima na WATANZANIA wote hata WANACCM wanajua jinsi Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa alivyouharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaagiza Wakurugenzi wa Halimashauri kutowatangaza Wapinzani hata kama Wakishinda kama haitoshi Uchaguzi Mkuu ndio ulikuwa MBOVU kupita CHAGUZI hata za wakati wa UKOLONI kwani Watu walikufa walipigwa walikamatwa walisingiziwa Kesi za Uhujumu Uchumi Mauaji na mpaka UGAIDI ndani ya MAGEREZA wamejaa WAPINZANI kwa Kesi hizo ili Mradi tu CCM ISHINDE

Pia Tumeshuhudia WABUNGE FAKE Viti Maalumu Wakiapishwa bila Chama husika KUWATEUA na mmoja wapo Akitolewa Magereza USIKU Hiyo ndio HISTORIA CCM inatakiwa IJIVUNIE
 
Na wakitaka kujua kuwa hawajui wasubir 2025 ndo wataelewa kuwa hio ccm ilishinda au ilipora chaguz.
Sasa utafananisha ccm ya hapa kazi tu na ccm ya walamba asali.? We umesahau miaka kadhaa nyuma ulikuwa huwezi vaa nguo ya ccm ukaingia nayo mtaani.
 
Back
Top Bottom