CCM ni waoga kwenye mijadala huru. Tujikumbushe tukio la Mch.Mtikila vs Samuel Sitta ktk Bunge Maalum la Katiba

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
..kuna mambo CCM wamekatazwa kuyajadili. Tatizo wanataka kulazimisha Watanzania wote wawe kama wao.

..fuatilia hoja za Mch.Mtikila na jinsi Mwenyekiti wa Bunge Maalum Samuel Sitta alivyopatwa na taharuki na kuanza kumkatisha.

 
Swali ni kwamba hao wana uwezo wa kupitia njia ileile ya adha na mateso sawa na yale ya akina Mtikila?
 
Back
Top Bottom