Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chukua tu Ruzuku ya Chadema kwa miaka 5 ya Rais Magufuli na michango ya Wabunge kwa Awamu hiyo kisha tembelea Jengo la Makao makuu ya Chadema Ufipa St Kisha chukua Bajeti zote za Awamu ya 5...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
21 October 2020 Chato, Geita Tanzania Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais...
12 Reactions
106 Replies
11K Views
Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Mahera amewaonya wasimamizi wa uchaguzi ambao wameficha barua za uteuzi za wagombea wa ubunge na udiwani ambao walishinda rufaa zao kwa sababu majina na picha...
25 Reactions
105 Replies
11K Views
Ni katika Kipindi cha Dakila 45 ITV, hakika mambo ni moto Mzee Msuya ambaye ni waziri mkuu mstaafu anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja Kuhusu CCM Mzee...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo. "kwa sasa...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Ndugu watanzania kwa siku mbili mfululizo tumekuwa tukijadili swala la Ombi la Zitto Kabwe kumwombea msamaha Freeman Mbowe kama alivyotumwa na J J Mnyika wa Chadema. Nadhani mjadala umetosha...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo aliwaalika Viongozi wa Wamachinga kukagua ujenzi wa soko la Kariakoo Makalla amesema Ujenzi umefikia asilimia 32 na Soko likikamilika litatoa huduma...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Uchaguzi wa Kenya unafanyika leo tarehe 9/8/2022 Uchaguzi wa huu una maslahi mapana si tu kwa wa-Kenya bali ukanda mzima wa E Africa, Tanzania tukiwa miongoni mwao Wakati wa uchaguzi wa 2017 CDM...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeona Video inayosambaa kwa kasi sana mitandaoni ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwaita wabunge na watanzania wapuuzi na kama hawamtaki wamuue. Kwenye hotuba yake ametumia neno MSHENZI...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee inayojishughulisha na Masuala ya Vijana nchini Tanzania kwa vitendo kabisa. Pamoja na kwamba Dunia nzima kwa sasa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa! Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi...
46 Reactions
312 Replies
25K Views
Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo? Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
MILANGO YA BWAWA LA UMEME, TANI 26, KUKODI WICHI TOKA NJE, NIKUTUPIGA WATZ NA KITU KIZITO Watu wengi wameonekana kushangazwa na maelezo ya Waziri wa sekta husika baada ya kujibu hoja mbungeni...
17 Reactions
67 Replies
7K Views
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. "Tuliamua...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri wa nishati January Makamba amesema Ujenzi wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67 Makamba amesema baada ya kubadilisha Menejimenti na Body ya Tanesco na kuweka timu mpya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana Bodi Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Njombe ametuomba watanzania kumpatia orodha ya wateule wake ambao wanajikweza na hawatekelezi kikamilifu majukumu yao kwa mujibu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa...
23 Reactions
110 Replies
14K Views
Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie...
1 Reactions
0 Replies
971 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…