Salaam,
Hapa nilikua nasikiliza hotuba ya waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa alipokua anazungumza na maafisa Mawasiliano wa mikoa, aise jamaa kamtaja rais zaidi ya mara 20.
Ndio kuna mahala...
Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo.
Haya yafuatayo:
1. Haifuati...
Tofauti na Wenyeviti wa vyama vingine vya siasa hawa niliowataja yaani Mbowe, Mbatia na Mrema hawajaonyesha tamaa ya kuutaka urais.
Kwa mfano Prof Lipumba mzee Cheyo, Hashimu Ringer nk ni kama...
Huwa nashangaa humu jamvini na hata huku mitaani wafuasi wa CCM wakisema CHADEMA chalii mama kwa sasa anaupiga mwingi
Swal langu kwa wana ccm hivi kwenu chama cha upinzani n CHADEMA pekee au nn...
Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya...
Mumshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za katiba mpya na Tanzania mpya mnayoitafuta!
Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia, katiba mpya...
Yaani mtu anayejua Kusoma na kuandika hovyo hovyo Akiwa MBUNGE analipwa zaidi ya million kumi kwanza bila makato na baada ya miaka 5 analipwa zaidi ya million mia mbili ambazo hata alikuwa...
Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA...
MTAMBO KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23.
Utangulizi
Katika mwendelezo wa uwasilishaji, mijadala na upitishwaji wa bajeti Bungeni, jana tarehe 23...
Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili...
Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani...
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo...
Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania.
Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono...
Nianze kwa kusema kwamba ndugu zangu Watanzania tunachanganya sana mambo.
Frikra za Watanzania walio wengi juu ya serikali ni kwamba serikali ni lijitu lenye manguvu makubwa sana. Na ili...
Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Master Mind ni akina nani Katika uchaguzi wa kisiasa iwe Afrika au ulaya?
Je, wajua kwanini Raila Odinga alikuwa analalamika kabla ya matokeo na wakati wa kampeni kutangazwa kuwa ameibiwa kura au...
MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE
Na Rogan Swai, Narumu Blog
Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha...