Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa...
Kenyan President William Ruto is expected to address the Parliament of Tanzania on May 5, 2026, starting at 11:00am.
Deputy Speaker Daniel Sillo said the event is aimed at strengthening...
Kitu peke kilichobaki kuwatawanya na kuwaende watized ni Simba na Yanga, pale mwanzo kulitangulizwa kete ya udini ila nayo kama imeliwa tayar au inakalibia kuliwa
Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa na kukasirika baada ya Tume ya Chande kutoa ufafanuzi wa Ripoti yao ya matukio yalitokea Oktoba 29, 2025 kusema video za matukio zilikuwa zimechakachuliwa na...
Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.
Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika...
Wanabodi
Angalizo la Uchawa!
Baada ya kutokea fani mpya ya uchawa, kuna watu wenye akili fupi humu, ukisifu tuu jambo lolote zuri la Rais, unanyooshewa kidole cha uchawa!.
Tofauti ya pongezi za...
Kiwanda cha general tyre kubalishiwa matumizi, hatuwezi kushindana na wachina wanaozalisha tairi moja kwa dakika moja kwa kutumia mashine za kizamani, tutafungua mashine tutapeleka Kilimanjaro...
Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka...
Mtakumbuka Serikali ya Tanzania kupitia TASAF III Shilingi bilioni 43.5 zilitolewa moja kwa moja kwa kaya maskini kama ruzuku na malipo ya walengwa.
Faida Kuu za TASAF kwa Wananchi ni
Kupunguza...
Tume imetoa wito wa uwajibikaji wa haki, maridhiano na maendeleo ya taifa. Watanzania wote wanapaswa kukumbatia ukweli huu na kufanya kazi pamoja kujenga Tanzania yenye amani, haki na umoja wa...
Uadilifu wa Jaji Chande ulioonekana katika majukumu yake ya Umoja wa Mataifa umechangia pakubwa katika kazi ya Tume Ya Uchunguzi 29 Oktoba . Ripoti itakuwa huru, yenye mamlaka na itakidhi...
Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano.
Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na...
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari...
Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini Paschal Lutandula akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya madini amesema kuwa kuwa ' Kama Biblia ingeandikwa leo, inawezekana ingeandika hivi, Marais wengi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora.
Bw. Makungu...
Tafadhali tuliza akili unaposoma makala hii.
1. Kuna mjadala unaendelea kuhusu dini zetu na sasa KKKT inatuhumiwa sana. Kanisa linahusishwa na siasa za urais, kulambishwa asali na misimamo ya...
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa...