Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa. Kwa sasa...
2 Reactions
4 Replies
658 Views
Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Wakongo sisi ni wabaguzi kinoma just image Mtu Una mbaguwa mkongo mwenzako eti kisa hajazaliwa Kongo hawezi kuwa mkongo Siku hizi nilikuwa na tatizo la uraia Mimi nilizaliwa Tanzania mwaka wa 1998...
2 Reactions
2 Replies
646 Views
Kuna watu kazi yao wamekuwa ni kupinga na kubeza mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluh Hassan, yawezekana wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni kikatiba au wameamua...
4 Reactions
93 Replies
5K Views
Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Kama kweli waziri wa fedha amesaini kuanza kutumika kwa tozo kwa miamala ya kuweka au kutoa fedha ATM na benki, kwa mtazamo mwingine ni kuwa fedha ya ongezeko la mshahara sehemu kubwa kama sio...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu...
4 Reactions
5 Replies
669 Views
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa...
50 Reactions
430 Replies
41K Views
Wakuu habari za jioni. Leo tarehe 22 Machi 2019 kwenye taarifa ya habari ya saa kumi jioni nimemuona Waziri Mkuu akizindua kiwanda cha kuchakata muhogo. Nafikiri hii ni fursa nzuri kwa wakulima...
0 Reactions
59 Replies
15K Views
Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Nadhani sasa ni Muda Muafaka wa kukataa hiki Chama kutokana na VIONGOZI wake kuwa Wababe wanaojali Maisha yao na kujiamulia Watakavyo bila kuwashirikisha Wananchi na kuwaambia Watanzania...
3 Reactions
7 Replies
458 Views
Tatizo la tozo kuwa nyingi sio makusudi ya raisi wala serikali. Lawama hizi napeleka kwa wasomi wenye taaluma ya uchumi kwasababu wanatakiwa kubuni njia nyingine za mapato na kuwasilisha...
1 Reactions
9 Replies
859 Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Hizi kodi zinauma. Lakini imebidi nifanye kautafiti kidogo kuchunguza kama Mwigulu kalewa madaraka au la! Tozo katika Mabenki ipo nchi nyingine nyingi tu duniani, ni kodi hii kwa ujumla inaitwa...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za...
2 Reactions
7 Replies
724 Views
Serikali ya CCM inachofanya ni Uporaji wa Pesa za wanachi! Huwezi Mkata mtu PAYE au Income tax halafu uje tena umkate tozo ya Serikali kwa kutoa pesa bank kwenye Pesa hiyo hiyo. Thats Robbery in...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi. Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu hapa Bongo, ni kwamba system inatulazimisha tusomeshe watoto wetu shule binafsi au ni upuuzi tu wa watu wachache kuna mambo yananishangaza sana kuhusiana...
2 Reactions
0 Replies
900 Views
Yaani kama kuna mazindiko yaliwekwa mahala nchi hii yakatolewe haraka, the country is rotten to the core IMEKUWA NCHI YA KINAFIKI SANA kujifanya ni ya upendo na haki lakini deep inside ni nchi ya...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…