Rais Samia na haki sawa kwa Mwanamke

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa.

Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa wengi wanawake, tangu Tanzania ipate uhuru.

Dhamira ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni kuongeza idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi.

Rais Samia alisema atawapa wanawake nafasi mbalimbali za uongozi na sasa anatimiza
Endelea kufanya mapinduzi sisi watanzania tuna imani na wewe na Tanzania yetu ipo salama ikiwa mikononi mwako.
 
Huo bado ni ubaguzi wa kijinsia ,kwanini mwanmke na sio kiongozi bora Afrika tunasafari bado
 
Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa.

Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa wengi wanawake, tangu Tanzania ipate uhuru.

Dhamira ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni kuongeza idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi.

Rais Samia alisema atawapa wanawake nafasi mbalimbali za uongozi na sasa anatimiza
Endelea kufanya mapinduzi sisi watanzania tuna imani na wewe na Tanzania yetu ipo salama ikiwa mikononi mwako.
Naunga mkono hoja
P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom