Asante saana Tanzania wakongo sisi mutuache hivi hvi tu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Wakongo sisi ni wabaguzi kinoma just image Mtu Una mbaguwa mkongo mwenzako eti kisa hajazaliwa Kongo hawezi kuwa mkongo
Siku hizi nilikuwa na tatizo la uraia
Mimi nilizaliwa Tanzania mwaka wa 1998 katika makambi ya wakimbizi nikakulia uko na kusomoea uko mpaka nilivyo pata bahati ya kuja uku inch za wenzetu
Sasa wazungu wao wanasemaga uraia wa mtu uko pale alipo zaliwa uwe umezaliwa na mzungu au nani ukizaliwa katika INCH fulani wewe tayari ni raia wa INCH hiyo ndo kanuni zao hizo
Sasa mimi kanuni hiyo ili ni kuta
Nilikuwa naomba travail document kutoka kwenye immigration kwenye travail document wanaombaga cheti cha kuzaliwa cha mtu walivyo cheki chetu changu wakaona ni cha Tanzania na wakati kwenye karatasi zingine mimi nimeandika ni mkongo jambo hilo liliwatatiza kidogo
Maswali ya kawa mengi nilijaribu kuelewesha kiukweli hawakunielewa
Wakaniomba nilete karatasi kutoka kwa ambassada wakongo ambaye yupo Canada adhibitishe kama kweli mimi ni mkongo au apana
Nilikwenda kwa ambassada wenzangu nilicho kutana nacho uko ni shida
Mtu nime beba vyetu vya wazazi wangu vyote vya kuonyesha wao ni wakongo mtu anaomba cheti changu hataki cha wazazi wangu
Na mwambia mimi nilikuwa mkimbizi nitakuwaje na cheti cha Kongo
Alicho tamka ambassada kwa mafumbo eti ninyi ndo watu ambao mkipewa vyeti sasa kesho mnakuja kusumbuwa Kongo kauli hiyo ili niumiza saana alafu ana sema nenda kwa ambassada wa Tanzania atakusaidia sio mimi na ana nipa na namba zake kweli
Ila na shukuru nilivyo kwenda kwa ambassada wa Tanzania Ottawa akanisaidia bila kinyongo chochote alinipa karatasi ambayo ina maelezo yote kuhusu uraia wa Tanzania ndipo immigration Canada wakakubali
Wakongo wenzangu ambao Mmezaliwa katika makambi ya wakimbizi fanyeni mpango mkarudi nyumbani mkapate uraia kwanza bila ivo itakula kwenu
 
Pole ndugu
Sisi watz ni wakarimu sana

Ila Kwa Sasa tunaye bi mwakatozo na Nchemba Mwatozo Wana roho mbaya
 
Back
Top Bottom