Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu,
" Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha...
By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake.
Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania.
Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai...
Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022
Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni...
UTEUZI CCM: UVCCM yateua makatibu wapya wa wilaya kote nchini
Nazidi kuchambua majina nimeona Kuna wakuu wa shule 53 walioteulia kuwa makatibu wa wilaya wapya
Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam.
Chanzo: Tanzania Editors...
Wengi walikuwa bado hawajahisi maumivu ya tozo wakitoa pesa kwa teller Bank na kwenye ATM kwani Bank nyingi zilikuwa hazijafanya automation kutekeleza sheria.
Pongezi kubwa ni kwamba Watanzania...
Wale jamaa wa lile genge ovu wanakomeshwa kweli kweli chini ya Kamanda Hangaya (Chui Jike).
Nadhani wote mnalifahamu jina la lile genge. Naomba nisilitaje hapa.
Kwa sasa wananunua petroli elfu...
suffocate - hali ya kuteseka
Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele.
Serikali ya Tanzania ipo kwenye...
Nimemsikia Membe akizungumza kwa kujiamini kama ilivyokua kawaida yake. Mimi namshangaa ni msomi wa aina gani asiyeweza kutathmini mambo kisayansi hata kidogo.
Yeye ni mwanasiasa asiyekua na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema sheria ya tozo haikutungwa kwa kukurupuka, ilipitia hatua zote za kisheria ikiwemo bunge. Endapo sheria yoyote inalalamikiwa kwamba haifai, ili ifutwe ni...
Wanasema ukitaka kumuua nyani mpe jina baya
Pamoja na Rais kuwatoa wale wasaidizi wa magufuli kwa 98% kutokana na msukumo wa chuki ya watu waliomzunguka na anaowaamini lkn inaonekana kutokufanya...
Na Mwandishi wetu,
Korogwe, Tanga
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka madiwani na wabunge kukataa kupitisha miswada ya Sheria yenye...
Pongezi kwa Mh. Nchemba
Leo nasimama hadharani bila kupepesa macho. Ndio, nakupongeza kwa ubunifu wa kukusanya kodi bila manyanyaso kwa raia. Tulishuhudia maduka yakifungwa kwa ajili ya kodi...
Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako…
1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66.
2. Amejenga madarasa 1500...
Mwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini...
Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,.
Mama alikuta watanzania...
Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii.
Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii...
ZIARA YA SHAKA YAACHA NEEMA
MNADA WA MIFUGO IGUNGA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea na kukagua mnada wa mifugo Igunga ambao ni wa...
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya.
Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.