Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,052
- 285,653
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, leo akiwasilisha Bajeti ya serikali ya 2022/2023 Bungeni, amependekeza kuongezwa chanzo kipya cha Mapato, ambacho ni VING'AMUZI VYA TV .
Waziri ameomba kodi hiyo ya ving'amuzi iwe kati ya Shilingi elfu moja na elfu tatu kwa mwezi .
Toa Maoni yako.
Waziri ameomba kodi hiyo ya ving'amuzi iwe kati ya Shilingi elfu moja na elfu tatu kwa mwezi .
Toa Maoni yako.