Kifo cha Mhe. Agustino L. Mrema, viongozi wa SAU waungana na familia na TLP kuomboleza

Sauti ya Umma

Member
Aug 26, 2010
37
20
Viongozi wa Chama cha Sauti Ya Umma (SAU), leo asubuhi wamefika katika ofisi za makao makuu ya chama cha TLP kusaini kitabu cha maombolezo na kuwapa pole wana TLP kwa kuondokewa na Mwenyekiti wa chama Taifa

Wakiongea katika ofisi hizo wamesema wamesikitishwa sana kwa kifo cha Mhe Agustino Lyatonga Mrema mwanasiasa mkongwe ambaye alikuwa jasiri na alituongoza njia wapizani tokea 1995

Mzee alikuwa mpambanaji, jasiri mwenye msimamo asiyeyumbishwa na chochote. Tunatoa pole sana kwa familia, viongozi na wanachama wa TLP, wananchi wa Jimbo la Vunjo, wanasiasa na watanzania wote

Tunamuomba Mungu ampe raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie,

IMG_7109.jpg
 
Back
Top Bottom