Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na...
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai...
Hii ndio Kanuni ya Kawaida Kabisa ya Mungu , siku hizi Mungu amefupisha sana muda wa Malipo , huwa analipa haraka mno ! nafahamu kuna wale wanaosema Mungu hawahi wala hachelewi , LAKINI KWA KWELI...
Sina nia ya kuwakosea adabu lakini hivi kiongozi mtanzania kabisa ulikulia Tanzania unakubali with holding tax alipe mlala hoi wa Chumba cha elfu 20 buza kweli inaingia akilini kwa mazingira ya...
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana...
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na...
Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya!
Ni vipi...
Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto!
Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi...
Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa...
Kuna mambo mengi sana yananung'unikiwa na WATANGANYIKA huku hali ikiwa tofauti sana upande wa pili wa Muungano(ZANZIBAR)
Wakati Rais wa Zanzibar akiwakingia kifua wananchi wake dhidi ya kodi za...
Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini...
Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko?
Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo...
(na cde Agathon Simba Ulanga)
Baada ya kuisoma Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoitwa “Katiba Inayopendekezwa Oktoba 2014”, nilisema afadhali kuwa mchakato uliishia pale...
MAWAZO YA HUYU DADA kama akiteuliwa kuwa MKUU WA WILAYA
Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake...
Aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kupitia CHADEMA, Cecil Mwambe amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi.
Kama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa.
Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine...
Waswahili wanasema ukianguka usitazame ulipoangukia bali tazama ulipojikwaa.
Wale vichwa vikali vya siasa za maendeleo tangu hapo mwanzo walishatilia mashaka kuhusu siku zijazo kuwa mbaya...
Mama Samia alianza vyema. Kama ilivyo ada stahiki zake tukampa.
Sasa kazungukwa na genge la walamba asali wenye kujali maslahi yao. Wako tayari kuchakachua hata kura za maoni eti kuonekana kuwa...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekuwa miongoni wa viongozi wazito wa Tanzania walioshiriki Mazishi ya Mzee Lyatonga Mrema huko Kiraracha .
Akizungumza Mbele ya waombolezaji, Mbowe amesifu...
Walisema waungwana ukiona vyaelea vimeundwa.
Siyo siri wenzetu Zenji wako vizuri na katika njia yao salama ya ukombozi iliyo wazi:
"Zanzibar wanataka mamlaka yao kamili na wamejipanga kwa ajili...