Chini ya utawala wa Rais Samia, Tanzania Bara hatuna mtetezi

Kahindi95

Member
Mar 7, 2019
21
53
Kuna mambo mengi sana yananung'unikiwa na WATANGANYIKA huku hali ikiwa tofauti sana upande wa pili wa Muungano(ZANZIBAR)

Wakati Rais wa Zanzibar akiwakingia kifua wananchi wake dhidi ya kodi za dhulma, hali inazidi kuwa mbaya sana upande wa Tanganyika.

Tozo sasa zimefikia hatua ya kututoa uhai.
Mfumuko wa bei usiomithirika
Hali ya maisha kuwa mbaya kupita kiasi

Wakati haya yote yanaendelea hakuna hatua yoyote inayofanyika ya kukabiriana na haya matatizo.

UPANDE WA ZANZIBAR HALI NI SHWARI KABISA. HAKUNA TOZO ZA KIPUMBAVU KAMA BARA.
BEI YA MAFUTA IKO CHINI
BEI YA BIDHAA IKO CHINI

Sasa najiuliza kwa Tanganyika kuna tatizo gani?
Au ni kwasababu tunaongozwa na MAMA WA KAMBO?

Hasikii wala hahisi maumivu yetu?

Au ameamua kutukomoa?

Ni nani atatuokoa WATANGANYIKA na haya mateso?

TUNAONGOZWA NA MZANZIBAR AMBAYE ANAFANYA KILA JAMBO KWA MANUFAA YA WAZANZAIBARI WENZAKE.

NI MUNGU PEKEE ATAKAYETUOKOA
 
Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,862
1,351
Kwanza sio sahihi kusema tozo ziko Tanganyika tu. Tozo ziko Tanzania nzima. Mfumko wa bei uko Zanzibar pia ila Wazanzibari hawalalamiki kwa maneno, wao ni vitendo kwenda mbele. Nyiye endeleeni kuimba wenzenu tinafanya kwa vitendo. Sisi tunashuhulikia huu muungano; ukikaa sawa mambo mengine yatakaa sawa. Ukolono wa Tanganyika ndio tatizo letu.
 
chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,201
1,005
Niliwai kusema humu kodi za tanganyika zinaijenga zenji hamkuelewa naona sasa mmejitambua kazi kwenu sasa, hii katiba ni mbaya sana wenzetu bidhaa zikipanda tu maandamano nchi nzima, hali ni mbaya tanganyika gharama ya maisha ipo juu sana
 
Kahindi95

Member
Mar 7, 2019
21
53
Kwanza sio sahihi kusema tozo ziko Tanganyika tu. Tozo ziko Tanzania nzima. Mfumko wa bei uko Zanzibar pia ila Wazanzibari hawalalamiki kwa maneno, wao ni vitendo kwenda mbele. Nyiye endeleeni kuimba wenzenu tinafanya kwa vitendo. Sisi tunashuhulikia huu muungano; ukikaa sawa mambo mengine yatakaa sawa. Ukolono wa Tanganyika ndio tatizo letu.
Kaka usitufanye wajinga! Lita ya petrol inauzwa sh ngapi Zanzibar?
Na bara inauzwaje?
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
20,670
26,617
Kuna mambo mengi sana yananung'unikiwa na WATANGANYIKA huku hali ikiwa tofauti sana upande wa pili wa muungano(ZANZIBAR)

Wakati rais wa Zanzibar akiwakingia kifua wananchi wake dhidi ya kodi za dhulma, hali inazidi kuwa mbaya sana upande wa Tanganyika.

Tozo sasa zimefikia hatua ya kututoa uhai.
Mfumuko wa bei usiomithirika
Hali ya maisha kuwa mbaya kupita kiasi

Wakati haya yote yanaendelea hakuna hatua yoyote inayofanyika yakukabiriana na haya matatizo.

UPANDE WA ZANZIBAR HALI NI SHWALI KABISA. HAKUNA TOZO ZA KIPUMBAVU KAMA BARA.
BEI YA MAFUTA IKO CHINI
BEI YA BIDHAA IKO CHINI

Sasa najiuliza kwa Tanganyika kuna tatizo gani?
Au nikwasababu tunaongozwa na MAMA WA KAMBO?

Hasikii wala hahisi maumivu yetu?

Au ameamua kutukomoa?

Ninani atatuokoa WATANGANYIKA na haya mateso?

TUNAONGOZWA NA MZANZIBAR AMBAYE ANAFANYA KILA JAMBO KWA MANUFAA YA WAZANZAIBARI WENZAKE.

NI MUNGU PEKEE ATAKAYETUOKOA
Zawadini unaitwa tena huku kwa ufafanuzi wako zaidi.

Kumbukumbu zangu zinanielekeza wazanzibari wako hapa:

IMG_20220826_081058_949.jpg
Bara tupambaneni na hali zetu.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
18,584
51,368
Kwanza sio sahihi kusema tozo ziko Tanganyika tu. Tozo ziko Tanzania nzima. Mfumko wa bei uko Zanzibar pia ila Wazanzibari hawalalamiki kwa maneno, wao ni vitendo kwenda mbele. Nyiye endeleeni kuimba wenzenu tinafanya kwa vitendo. Sisi tunashuhulikia huu muungano; ukikaa sawa mambo mengine yatakaa sawa. Ukolono wa Tanganyika ndio tatizo letu.
Ifikapo 2025, chagueni moja; mjitegemee kama nchi kwa 100%, au muwe sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kiukweli Watanganyika tunaumia sana kuendelea kuwalea na kuwahudumia watu wazima kupitia kodi zetu. Maana mpaka leo sijaona logic ya uwepo wa Wabunge kutoka Zanzibar kwenye Bunge la Tanganyika, huku kukiwa hakuna Wabunge wa Tanganyika kwenye Bunge lenu kule Zanzibar.
 
Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,862
1,351
Mkuu pingine
Kaka usitufanye wajinga! Lita ya petrol inauzwa sh ngapi Zanzibar?
Na bara inauzwaje?
Mkuu ulizungumzia tozo kwamba Zanzibar hakuna. Nikasema tozo ni kwa Tanzania nzima. Hili la petroli Serikali imefidia, huko Tanganyika serikali haikufidia. Kumbuka kuna SMT na SMZ. Kuhusu bei za bidhaa huku Zanzibar ni kubwa kuliko Bara.
 
Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,862
1,351
Ifikapo 2025, chagueni moja; mjitegemee kama nchi kwa 100%, au muwe sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kiukweli Watanganyika tunaumia sana kuendelea kuwalea na kuwahudumia watu wazima kupitia kodi zetu. Maana mpaka leo sijaona logic ya uwepo wa Wabunge kutoka Zanzibar kwenye Bunge la Tanganyika, huku kukiwa hakuna Wabunge wa Tanganyika kwenye Bunge lenu kule Zanzibar.
Ni juu yenu pia kulisemea hili wakati sisi tukipigana kivyetu. Swala la wabunge bado Zanzibar ni nchi ktk JMT hivyo wabunge lazima wawepo. Kama ni kuumia sisi tunaumia zaidi kwa Tanganyika kuvaa koti la Tanzania na kuizuilia Zanzibar kupiga hatua za maendeleo.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,627
14,026
Kuna mambo mengi sana yananung'unikiwa na WATANGANYIKA huku hali ikiwa tofauti sana upande wa pili wa Muungano(ZANZIBAR)

Wakati Rais wa Zanzibar akiwakingia kifua wananchi wake dhidi ya kodi za dhulma, hali inazidi kuwa mbaya sana upande wa Tanganyika.

Tozo sasa zimefikia hatua ya kututoa uhai.
Mfumuko wa bei usiomithirika
Hali ya maisha kuwa mbaya kupita kiasi

Wakati haya yote yanaendelea hakuna hatua yoyote inayofanyika ya kukabiriana na haya matatizo.

UPANDE WA ZANZIBAR HALI NI SHWARI KABISA. HAKUNA TOZO ZA KIPUMBAVU KAMA BARA.
BEI YA MAFUTA IKO CHINI
BEI YA BIDHAA IKO CHINI

Sasa najiuliza kwa Tanganyika kuna tatizo gani?
Au ni kwasababu tunaongozwa na MAMA WA KAMBO?

Hasikii wala hahisi maumivu yetu?

Au ameamua kutukomoa?

Ni nani atatuokoa WATANGANYIKA na haya mateso?

TUNAONGOZWA NA MZANZIBAR AMBAYE ANAFANYA KILA JAMBO KWA MANUFAA YA WAZANZAIBARI WENZAKE.

NI MUNGU PEKEE ATAKAYETUOKOA
Hamia ambako Bei ni rahisi badala ya kupiga Domo humu..

Mwisho kwani nani hajui kwamba watu wa Bara wanachojua ziaidi ni ulalamishi kuliko kutafuta fursa,ndio maana wapemba wako hadi Tarime, Sumbawanga nk wanapiga Kazi bila ulalamishi wa kindezi na ujamaa mentality
 
Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
30,623
31,893
Tunakopa mapesa asilimia kubwa yanakwenda huko.

Baada ya miaka 10 Zanzibar watakuwa mbali sana.

Sisi wacha watu waendelee kuiba tu na kunyanyasa wenzao.
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom