Uchumi kudorara huenda chanzo ni Waziri wa Fedha wa Zamani Dkt. Philipo Mpango na siyo Dkt. Mwigulu? Msikilize Peter Msigwa

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,017
Waswahili wanasema ukianguka usitazame ulipoangukia bali tazama ulipojikwaa.

Wale vichwa vikali vya siasa za maendeleo tangu hapo mwanzo walishatilia mashaka kuhusu siku zijazo kuwa mbaya kiuchumi kutokana na sera na hatua zisizo rafiki kwa uchumi wa Nchi yetu walishatanabaisha na kuonya.

Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ktk moja ya kumbu kumbu za bunge alionekana akimshukia Waziri wa Fedha wa wakati huo Mh Dr Philip Mpango. Akimuonya na kumshauri juu ya athari za kiuchumi zinazoweza kutokea miaka michache baadae ikiwa watatekeleza maoni na sheria ya fedha aliyowasilisha Bungeni.

Je hali ilivyo kama tunavyoiona tuendelee kumtwisha mzigo huu wa lawama Dr Mwigulu?
Tazama videoclip ktk Bungge la awamu ya tano.

Yani Serikali hii kila baya wanataka kusingizia awamu ya 5 ndo sababishi ila mazuri wanajitika wao na kujigamba tutawaumbua!

World Bank walipotangazaga mkopo kwa inchi mbalimbali zilizokumbwa na. Janga la Covid! Magufuli aliwaomba wasamehe madeni ili baada ya kukopa tena kuongeza madeni basi yale makusanyo wakiyotumia kuwalipa yakishi mahitaji mengine!

Akaingia Hangaya, ye akaenda kukopa ili ajenge matundu ya vyoo alafu now wanakuja wanamsema Philip Mpango!
 
Mkuu umesikiliz hiyo clip kwa umakini? Hapo sio kuongea nadharia. Ushahidi ni huo wa video clip ya Mbunge akiwa bungeni.
 
Jenista mwenyewe analalamika wakikaa pembeni akiingia bungenj anapongeza.....iam smart enough naweza kutumia ITV au TBC kumsifia.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom