Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.
Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.
Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.
Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.
Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.
Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.