Mbunge Msukuma: Tozo zilianzishwa na Hayati Maguful hii Awamu ya Rais Samia imeboresha tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,985
142,002
Mbunge wa Geita Vijijini mh Kasheku amesema Tozo walizipitisha wao bungeni na zitaendelea kuwepo kwa sababu zina manufaa makubwa

Msukuma amesema Tozo zimeasisiwa na hayati Maguful kupitia bunge na siyo awamu hii ya 6

Msukuma amesema yeye ni mbunge wa wananchi lakini pia anaitumikia serikali ndio sababu ataendelea kuitetea daima

Msukuma amesema kesho atakutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi malalamiko ya Makato ya Benki na atakuwa mubashara kwenye television zaidi ya sita

Source: Star tv The Big Agenda
 
Tuendelee kunywa mtoli nyama tutazikuta chini!
 
Attachments

  • image_2910998600645531941_.jpg
    image_2910998600645531941_.jpg
    22.7 KB · Views: 1
Mbunge wa Geita Vijijini mh Kasheku amesema Tozo walizipitisha wao bungeni na zitaendelea kuwepo kwa sababu zina manufaa makubwa

Msukuma amesema Tozo zimeasisiwa na hayati Maguful kupitia bunge na siyo awamu hii ya 6

Msukuma amesema yeye ni mbunge wa wananchi lakini pia anaitumikia serikali ndio sababu ataendelea kuitetea daima

Msukuma amesema kesho atakutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi malalamiko ya Makato ya Benki na atakuwa mubashara kwenye television zaidi ya sita

Source: Star tv The Big Agenda
MSUKUMA HAJUI KUWA KAZI YA MBUNGE SIO KUITUMIKIA SERIKALI BALI NI KUISIMAMIA SERIKALI
 
Back
Top Bottom