Faida za tozo: Bunge la September kila mbunge ataeleza maendeleo yaliyoletwa na tozo jimboni kwake!

Makusanyo ya kodi au kuchukua hela ya mwanachi kwa jina lolote pasipo mipangilio ni kutengeza maumivu. Hawana takwimu za vipato vya watu kwa usahihi ila wao wanakata kata tu. Kuna mwanafunzi anatumiwa kutoka kijiji buku 20,000 ya matumizi pale chuoni nayo wanakataa 😬😬
 
Imeelezwa kuwa tozo zimeibua maendeleo mbalimbali huko majimboni na kwamba katika bunge lijalo wabunge watatakiwa kuelezea maendeleo hayo.

Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita Vijijini Dr Joseph Kasheku.

Source: Star tv
Baada ya maelezo ya huyo Maamuma ndo tutaacha kusema ukweli kwamba serikali inaibia wananchi fedha zao kwenye akaunti? Msukuma alipokamatiwa basi lake na Luhaga Mpina likiwa limebeba samaki wasioruhusiwa kuvuliwa alilalamika Bungeni mpaka Dunia nzima ikasikia. Leo inakuwaje anatetea wizi wa serikali kwa kisingizio cha maendeleo? Yaani mwenyekiti wa kijiji aje nyumbani kwako achote unga kwa nguvu akapikie mafundi wa zahanati ya kijiji ukae kimya kwa vile zahanati ni maendeleo? Huo ndo utaratibu wa kuhudumia mafundi? Kwa vile anafaidi posho za kukaa bila kazi Bungeni na basi lake alilonyang'anya karudishiwa, sasa kajigeuza msemaji wa serikali? Ni Gerson Msigwa sasa au Zuhura Yunus yuko likizo yeye ndo Zuhura wa zamu?
 
Yeye ni mwakilishi wa wananchi
 
Imeelezwa kuwa tozo zimeibua maendeleo mbalimbali huko majimboni na kwamba katika bunge lijalo wabunge watatakiwa kuelezea maendeleo hayo.

Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita Vijijini Dr Joseph Kasheku.

Source: Star tv
Kila Siku wanaeleza ila ni upuuzi tuu wa baadhi ya haters ndio wanaojifanya hawaoni..

Baadhi yake ni Hizi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220827-164657.png
    Screenshot_20220827-164657.png
    148.2 KB · Views: 3
Baada ya maelezo ya huyo Maamuma ndo tutaacha kusema ukweli kwamba serikali inaibia wananchi fedha zao kwenye akaunti? Msukuma alipokamatiwa basi lake na Luhaga Mpina likiwa limebeba samaki wasioruhusiwa kuvuliwa alilalamika Bungeni mpaka Dunia nzima ikasikia. Leo inakuwaje anatetea wizi wa serikali kwa kisingizio cha maendeleo? Yaani mwenyekiti wa kijiji aje nyumbani kwako achote unga kwa nguvu akapikie mafundi wa zahanati ya kijiji ukae kimya kwa vile zahanati ni maendeleo? Huo ndo utaratibu wa kuhudumia mafundi? Kwa vile anafaidi posho za kukaa bila kazi Bungeni na basi lake alilonyang'anya karudishiwa, sasa kajigeuza msemaji wa serikali? Ni Gerson Msigwa sasa au Zuhura Yunus yuko likizo yeye ndo Zuhura wa zamu?
Endeleeni kupiga kelele bila katiba na watu kujitoa kma Kenya lbda Jehova achukue ulimwenguu wake ccm ni takataka kbsa
 
Kodi inafanya kazi gani na tozo inafanya kazi gani??
Kabla ya tozo vituo vya afya na mashimo ya choo mlijenga kwa pesa gani??

Tuanzie hapo kwanza.
Unajua hata bajeti ya Nchi wewe?.

Eti vilijengwa kwa pesa Gani swala sio kujenga swala ni idadi ilivyokuwa inajengwa..

Kama hujui hata mfumo wa Bajeti sina mda wa kuelimisha kubwa jinga mimi,Baki hivyo hivyo
 
Jibu maswali niliyokuuliza wacha yada-yada.

Kodi inafanya kazi gani na tozo inafanya kazi gani??
Kabla ya tozo vituo vya afya na mashimo ya choo mlijenga kwa pesa gani??

Tuanzie hapo kwanza.
 
Waseme tozo wanakusanya ngapi na zinafanya nini, unaonekana hujielewi kwani hivyo vituo vya afya havikuwa vikijengwa kabla ya tozo kuanza kukatwa?

Unaita watu haters wakati kichwani uko empty.
Wewe ni fala na hujielewi kabisa..

Kazi ya tozo iko wazi ni kujenga madarasa ya sekondari na msingi,kupeleka maji Vijijini,kujenga Barabara za Tarura na kujenga vituo vya afya na Zahanati..

Swala la ngapi zinakusanywa angalia bajeti za hizo taasisi..

Narudia kukwambia wewe na mburula wenzako swala sio havikuwa vinajengwa bali vilikuwa vinajengwa vingapi kulingana na mahitaji..

Kwa mwaka mmja uliopita vimejengwa zaidi ya vituo vya afya 250 wakati Kwa miaka 5 iliyopita ya Mwendazake alijenga na kukarabati vituo vya afya 352 tuu against zaidi ya 4,000 vinavhotakiwa kwa Kila kata Nchi nzima..kwa sasa viko chini ya 1,200 na watu wanazidi kuongezeka huwezi endelea na ujenzi wa kujinyonga nyonga..

On top of that kulikuwa na kilio kikubwa cha barabara za TARURA Nchi nzima over 5 years ago,saizi umesikia kipo tena? Kazi ya tozo hiyo..

Hivyo hivyo sekta ya Maji kabla ya 2025,Rais Samia atafuta tatizo la maji Mijini na Vijijini,mwaka huu pekee kuna miradi ya maji zaidi ya 1200 Nchi nzima harafu unakuja kuongea upumbavu hapa.
 
Umeshayaona hayo madarasa na vituo vya afya vimejengwa kwa msaada wa pesa kutoka World Bank na sio Tozo ndio utashangaa zaidi

Sent from my CLT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom