Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao.

Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu matumizi ya mfumo wa malipo wa Paypal ili kurahisisha malipo kwa vijana wajasiriamali wanaofanya kazi mitandaoni.
 
Crypto bros walikuwa wanampenda sana Ndugulile. Alikuwa anakutana naonsana kujadiki mambo yao.

Huyu waziri mpya simuoni.
 
Kwanini walizuia...??

Ujue kuna wakati huwa naona kama taifa tupo nyuma sana na Dunia...

Sijui ni kujilinda zaidi au ni vipi?
 
Back
Top Bottom