Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa hivi kuna changamoto kubwa ya uhaba wa mvua au mabadiliko ya tabia nchi. Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji cha kisasa kinachotumia maji machache katika mashamba makubwa kwenye...
3 Reactions
8 Replies
957 Views
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa...
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini Serikali...
1 Reactions
10 Replies
911 Views
Nikutakie tu kila la kheri Mh. Tundu Lissu kwani wewe ni muujiza wa kweli kwamba Mungu wa mbinguni anatenda. Itaendelea kusimama kama alama ya mpigania haki asiyeogopa waovu. God bless you TAL
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km...
63 Reactions
125 Replies
10K Views
Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba. Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya...
12 Reactions
32 Replies
4K Views
Serikali leo imetangaza kusitisha kutoa vibali vya MAHINDI kwa wafanyabiashara kupeleka KENYA sababu kubwa ni upungufu wa CHAKULA nchini na tumeshachelewa. Mavuno ya Tanzania ni July na muda wa...
1 Reactions
3 Replies
672 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia amethibitisha kuwa Serikali inakamilisha mchakato wa utungwaji wa Sheria hiyo itakayolinda taarifa binafsi za watu. Kauli ya Nape inakuja wakati kukiwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako. Jana wakati mjadala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zamani kamati ya uchumi na fedha ya CCM ilikuwa ndio chimbo lenye wabobezi wa sekta zote muhimu hata serikali ilikuwa inachota madini pale. Sijajua sasa wanafeli wapi!
2 Reactions
9 Replies
511 Views
Wanabodi, Naangalia Live ya TBC, kutokea Stockholm, Sweden, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Awahimiza TZ Diaspora, Kuja Kuwekeza Nyumbani. Prof. Kabudi alikuwa...
16 Reactions
123 Replies
15K Views
ZIARA MKOANI DAR ES SALAAM Ziara ya Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi mkoani Dar es Salaam. Tarehe: 10 - 11 SEPTEMBA, 2022 @ccm_tanzania
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini. Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni vema tukakemea siasa za kishamba na za uongo zinazotaka kuhuishwa nchini mwetu , ikiwa kama kulikuwa na orodha ya wazi kabisa ya wenye vyeti feki Magazetini na kwenye vyombo vingine vya habari...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kumekuwa na taarifa zikiripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ya kwamba mfuko wa bima ya afya kukumbwa na changamoto mbalimbali za ukwasi, na hii inadhihirishwa na NHIF wenyewe walivyokuja na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Vituo vya afya vyote vilivyotajwa vimejengwa na serikali ya awamu ya tano awamu ya sita imejenga vyoo nchi nzima kwa mkopo wa Tsh. trion 1.3 ambazo ni fedha za UVIKO. Hivi kwanini serikali...
1 Reactions
3 Replies
621 Views
Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Habari za leo wajuba, Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti. Sijui kwa nini this platform seems...
2 Reactions
5 Replies
880 Views
Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida. Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji. Pia soma: Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…