Kama wewe Shaka ndio msemaji wa CCM, na ndio leo unatamka kwamba chama chako kimeielekeza serikali iangalie namna ya kupunguza makali ya Tozo. Hii maana yake ni kwamba chama chako kimetambua...
Kufuatia kutekwa kwa Mo siku za hivi karibu na kupatikana baadae,waziri wa Muungano na Mazingira January Makamba Jana ,aliitwa polisi ili kutoa taarifa zaidi kutekwa kwa Mo.
====
Taarifa za...
Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao.
Others can see directly their deceptions and read...
Hapo zamani za kale katika nchi ya Wagagagigikoko alikuwepo jamaa mmoja MASKINI lakini mwelevu sana aitwaye ABDUL(au tumuite Polepole!!). Siku moja aliketi chini na kutafakari kwa kina jinsi ya...
Mheshimiwa waziri atambue kuwa mita ya umeme, waya, na nguzo ni mali ya Tanesco na ndiyo capital asset yake, ili TANESCO isambaze umeme lazima iwe na hivyo vitu vinginevyo hakuna usambazaji...
Nimekuwa najiuliza sana kwanini Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Jamhuri haijamshtaki mpaka leo kwa kosa la Kukivamia kituo cha televevisheni cha Clouds usiku akiwa na Askari...
Watanzania tulikuwa na hamu Sana ya kumsikia kiongozi wa Jopo la waangalizi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki, Jakaya Kikwete, ambaye aliongoza Jopo hilo, kwa upande wa Afrika Mashariki, mara tu...
Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame...
Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi.
Tume ya Ajira...
Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu?
Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya...
Mwanzoni ilikuwa Wapangaji wa nyumba na ofisi Kwa ajili ya biashara tu (commercial/business) ndiyo waliokuwa wakitakiwa kulipa withholding tax ya asilimia kumi (10%) TRA. Kifungu Cha 82(2)(a) Cha...
Serikali imepunguza bei za Nishati ya mafuta kwa mwezi Septemba 2022 kwa Dar es Salaam bei za Mafuta kwa mwezi September 2022, Petroli bila ruzuku ya serikali ilitakiwa kuwa shilingi 3049 baada ya...
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na...
Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa.
Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo...
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es...
Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu...
Mkutano wa hadhara wa Act Wazalendo huo hapo chini.
Tena wanatishia kuvunja muungano na kurudisha kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa.
Wakati huohuo huku Tanganyika vyama mbadala vinazuiwa...
Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu.
Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu...