Dkt. Mapana Kedmon Mapana ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji BASATA

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Dkt. Kedmon Elisha Mapana ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)

Dkt. Mapana anachukua nafasi ya Bw. Godfrey Lebejo Mngereza ambaye amefariki dunia. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mapama alikuwa Mhadhiri Mkuu, Idara ya Sanaa Bunifu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

IMG_0613.jpg
 
Sasa mbona Huyo Mugereza inaonekana kama kafariki leo wakati muda tu? Au mimi ndo lugha inanipiga chenga.
 
Hata mimi nashangaa,Godfrey Mngereza alifariki December 2020 lakini Press Release ya Bi Yunus imeandikwa as if amefariki jana au juzi duuuh
 
Hii Nchi Raha sana Mpaka katibu wa BASATA anateuliwa na Rais ,kuna haja ya Katiba Mpya .
 
Back
Top Bottom