Rais Samia from London to Maputo then New York

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,175
Reaction score
28,833
Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui

USSR
View attachment 2363291
 
Sasa ulitakaje? Kelele tu zisizo na msingi wowote.
 
Amna shida, asizidishe wiki.

Bt Anaweza mfukuza mwigu na marope akiwa huko huko, Katiba Si inaruhusu???
 
Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui

USSR
View attachment 2363291
Na wewe subiri uwe Rais ule raha.
 
Safi sana. Hatutaki rais anayejifungia ndani.
 
Back
Top Bottom