mwanachuo
Member
- Jan 15, 2013
- 36
- 25
Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye chaguzi hizo.
Kuna wanaoshiriki Hadi kuhesabu kura ila hata kusimamia hizo chaguzi. Swali langu, vyombo hivi ninanufaikaje na chaguzi hizi?
Kuna wanaoshiriki Hadi kuhesabu kura ila hata kusimamia hizo chaguzi. Swali langu, vyombo hivi ninanufaikaje na chaguzi hizi?